ifa96
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 511
- 345
Jikaze japo nakuombea msiba darajani. League ibaki kuwa tamu
mkuu mech ya leo muhm kushinda
Jikaze japo nakuombea msiba darajani. League ibaki kuwa tamu
Nikiwa km mpenz na mwana arsenal
.. nasema hivi man u leo wanalala mbele ya city na kurudi nyuma.. am on fire
Dah Chelsea wamefunga
Alafu goli la kizembe mno..!!
Rangers walikuwa wameshawashika tayari
Alafu goli la kizembe mno..!!
Rangers walikuwa wameshawashika tayari
kwa kikos hiki mun u lazma tumuue mtu
Dah Chelsea wamefunga
Alafu goli la kizembe mno..!!
Rangers walikuwa wameshawashika tayari
Poleeeeeeee....dua zako hazikufika..subir kichapo sasa.