Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Sisi tushamaliza kazi yetu kazi kwenu.....
Tarehe 9 mwezi wa tano pale darajani nitakualika uone namna gani nayapiga hayo majogoo.
Sisi tushamaliza kazi yetu kazi kwenu.....
Tarehe 9 mwezi wa tano pale darajani nitakualika uone namna gani nayapiga hayo majogoo.
Hahahaa Imbombo jilipo.....Isagha tujombe.......
Kaka yako anaipenda sn kauli mbiu yake "NAONA SASA ATA NYIE MNAYAOGOPA MAJOGOO" lols.
Jogoo limekatwa kichwa halafu limeachiwa! Kinachotokea baada ya kitendo hicho mila MTU anajua..... #HeadlessChicken
Hahahaaa mkuu naona unajaribu kulipaka rangi basi kwa kusema kudefend vzr ni tofauti na kupaki basi.....Kule Camp Nou mbele alikua ni CR7 tu lkn wote mlikua ktk box lenu mkitibua move za wachezaji wa Barc....na mlikua na msitu mkubwa wa mabeki na viuongo, nakumbuka kina Owen Hagrives walikuwepo wakati huo...yani mlikwenda Camp Nou na mbinu hiyo tu na mpira ukawa mbaya ata kutiza maana ilikua timu moja iko ktk box lake na haitaki kutoka kwenda mbele na timu ingine imetoka na muda wote inachezea mpira.....huku ndio kudefend vzr? timu haitaki kutoka ktk box lake ndio kudefend vzr huku rafiki yangu RRONDO?
Mchezo wenu wa pili pale OT kidogo mlitoka na kidogo kocha wenu alipunguza kuweka wachezaji wengi wakabaji na kuwaweka kina Luis Nani na mkafunguka kidogo lkn mlipopata goli tu basi makarudi ktk mabasi yenu.....hahahahaa
Tarehe 9 mwezi wa tano pale darajani nitakualika uone namna gani nayapiga hayo majogoo.
Nzagamba oleho nalekobona, olekandekejaga... Wabheja sana...
Nkoi naleho nalekandegeja sn na Ngi one!
ndoho shida bang'wise...
Naona timu yenu ManU iko pouwa siku hizi
Naona timu yenu ManU iko pouwa siku hizi
Siku hizi atleast hata kuangalia mpira unafurahi aisee... ile zana mliyotuuzia ni nzuri...
Sijui ni kwanini Van Gal alikuwa akiipiga benchi...
Binafsi naona bado hatujafikia peak yetu
By the way, nimemiss sana chama langu Champions League...huwa sielewi mashabiki wa Looserfools wamewezaje kuishi miaka yote bila CL football
Siku hizi atleast hata kuangalia mpira unafurahi aisee... ile zana mliyotuuzia ni nzuri...
Sijui ni kwanini Van Gal alikuwa akiipiga benchi...
Miujiza ya little Spanish Magician imeanza kuonekana....Angel akirudi kwenye form yake it will be joy to watch watu watatu ....Herrera, Mata na Angel