Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ntuzu

Mshambuliaji mwenye sura ya kitoto ni OLE GUNNAR SOLSKJAER.........
 
Last edited by a moderator:
Nzi ushawahi kusoma hii article??? Najua kuna mahali tulikuwa tunabishana na wanazi Fulani..
The Best Quotes About Paul Scholes | The SPORT Bible
Andrea Pirlo,Xabi Alonso na Deco hawa wote kila mmoja amemweka Paul Scholes kwenye Dream Team yake ya UEFA Champions League


Andrea Pirlo:‘The truly great English midfield player of the generation. Didn’t just play the game, he thought about the game. You could see every pass, every decision, was based on his intelligence and understanding.




Lionel Messi, Xavi, Kaka and Paul Scholes in Andrea Pirlo's Champions League dream team | Daily Mail Online


Xabi Alonso:In Spain you would not believe how well respected he is by professionals and journalists. Maybe because he was quiet off the field he never got the right praise in England because he likes to keep a low profile. Technically he could have played in any league in the world.



Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Xavi and Steven Gerrard among legends in Xabi Alonso's Champions League dream team | Daily Mail Online

Deco:It is not coincidence so many professionals talk so highly of Paul Scholes. Of course he is one of the best midfield players of my Champions League, but also I think you can call him one of the best midfield players in the history of the game.



Cristiano Ronaldo, Lionel Messi and Manchester United legend Paul Scholes feature in Deco's Champions League XI- | Daily Mail Online
 


Nakumbuka mambo mengi sn ya Poul Scholes......lkn kuna jambo moja nalikumbuka vzr ni pale Zambrotta alipofanya makosa na kumpa mpira Poul Scholes, Jamaa alifunga goli la mbali sn zaidi ya mita 20 na kufanya Fc Barcelona kutolewa ktk UEFA...na ninafikiri hapo ndio ile nyota ya beki nguli wa timu ya taifa ya Italy Zambrotta ilipoanza kufifia. Na pia huo msimu ndo ukawa mwisho wa Rijkaard kwa Fc Barcelona........jamaa alifunga goli ktk dakika ya 14 na ManU wakapaki basi la watu kumi [mabasi matatu hahahahahah] mpk mpira ulipoisha.

Kumbe kupaki basi sio mbinu ya Jose Mourinho tu, ata babu mzee wa bahasha ya kaki alipaki basi la hatari ktk first leg ya huo mchezo pale Camp Nou na second leg pia pale OT.....hahahahaaaaa RRONDO hapa utamshambulia Mou kwa kuweka mabasi ata mawili uwanjani?
 
Last edited by a moderator:

Kama sikosei mechi ya kwanza tulikosa penati,CR7 ndio alikosa! Mechi ya pili ndio Scholes akatukumbusha enzi zake,mechi zote mbili tuli defend vizuri sana! Kuna tofauti Kati ya Ku defend vizuri na kupaki bus!
 
Kama sikosei mechi ya kwanza tulikosa penati,CR7 ndio alikosa! Mechi ya pili ndio Scholes akatukumbusha enzi zake,mechi zote mbili tuli defend vizuri sana! Kuna tofauti Kati ya Ku defend vizuri na kupaki bus!


Hahahaaa mkuu naona unajaribu kulipaka rangi basi kwa kusema kudefend vzr ni tofauti na kupaki basi.....Kule Camp Nou mbele alikua ni CR7 tu lkn wote mlikua ktk box lenu mkitibua move za wachezaji wa Barc....na mlikua na msitu mkubwa wa mabeki na viuongo, nakumbuka kina Owen Hagrives walikuwepo wakati huo...yani mlikwenda Camp Nou na mbinu hiyo tu na mpira ukawa mbaya ata kutiza maana ilikua timu moja iko ktk box lake na haitaki kutoka kwenda mbele na timu ingine imetoka na muda wote inachezea mpira.....huku ndio kudefend vzr? timu haitaki kutoka ktk box lake ndio kudefend vzr huku rafiki yangu RRONDO?

Mchezo wenu wa pili pale OT kidogo mlitoka na kidogo kocha wenu alipunguza kuweka wachezaji wengi wakabaji na kuwaweka kina Luis Nani na mkafunguka kidogo lkn mlipopata goli tu basi makarudi ktk mabasi yenu.....hahahahaa
 

Haya mkuu najua inakuuma kwasababu tulivyotoka pale tukaenda kuwashika nyumbani kwa tajiri yenu!!!
 
Haya mkuu najua inakuuma kwasababu tulivyotoka pale tukaenda kuwashika nyumbani kwa tajiri yenu!!!


Hahahahaa mkuu mabasi mnajua kuyapaki lol.

Yah kule Urusi ilikua shida kaka kwanza timu yetu ilifika pale ikiwa chini ya Avram Grant, timu ilipitia mpasuko mkubwa ktk uongozi.... lkn tulicheza vzr na namshukuru sn Super Frenky kwa kusawazisha goli zuri sn......

Ila JT alifanya tukose hilo kombe baada ya kukosa penalty ya mwisho na ya ushindi.
 
Malafyale upo ndugu yangu?! Weekend hii ukiteleza tu utajikuta nafasi ya nane!!! Raha yetu sisi Arsenal akikuchapa tunatanua gap mpaka 8pts....wewe ukimchapa Arsenal au ukiforce draw tunaingia nafasi ya tatu... Hii ni WIN WIN situation kwetu!

Mkuu, Wenger anaujua umuhimu wa huo mchezo zaidi ya BR, na Wenger anajua ni namna gani huyu BR na vijana wake watakavokuja na nguvu hasa baada ya kupigwa na kutolewa ktk matumaini ya kuingia Top Four. We unafikiri mkuu kuna dalili kwa arsenal kudondosha point? Hakuna aiseee, mpira utapigwa wa kufa mtu kaka. Lkn namuona BAK na Eli79 na utafiti wana mashaka sn juu huo mchezo......lols.
Malafyale kaka yake na fulani hapa [simtaji kwa jina los] anajua fika huo mchezo anakwenda kufungwa tu na bado ule wa kwetu pale darajani tarehe 9 mwezi wa tano.....ndio LFC itazidi kupotea huko nafasi za kumi lol.
 
Last edited by a moderator:

Aisee!!! Ngoja nimuite kaka yangu naona una utani naye sana, Ntuzu usiniulie kaka yangu ndo huyu huyu WA pekee,lol Malafyale nkamu gwangu uliko kughu? Isagha tujobe......
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ntuzu sina wasiwasi na mechi hii, mimi napigia hesabu namshushaje man city pale nafasi ya pili??
 
Last edited by a moderator:
Aisee!!! Ngoja nimuite kaka yangu naona una utani naye sana, Ntuzu usiniulie kaka yangu ndo huyu huyu WA pekee,lol Malafyale nkamu gwangu uliko kughu? Isagha tujobe......

Hahahaa Imbombo jilipo.....Isagha tujombe.......

Kaka yako anaipenda sn kauli mbiu yake "NAONA SASA ATA NYIE MNAYAOGOPA MAJOGOO" lols.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa Imbombo jilipo.....Isagha tujombe.......

Kaka yako anaipenda sn kauli mbiu yake "NAONA SASA ATA NYIE MNAYAOGOPA MAJOGOO" lols.

Hahahaha!!! Utatukana shauri yako ..........

Ngoja nimsaidie kaka yangu ...hata sasa na wewe wayaogopa majogooo huchomoki pale anfield...... Lol
 
Hahahaha!!! Utatukana shauri yako ..........

Ngoja nimsaidie kaka yangu ...hata sasa na wewe wayaogopa majogooo huchomoki pale anfield...... Lol


Aisee km mlitoka nyie mimi ntashindwa kweli? Majogoo hayana kitu siku hizi ata kaka yako anajua hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…