Kazi kweli kweli
Hii kitu sio kama Mkuu RRONDO kajitungia mwenyewe... hii niliona kuna siku za karibuni wanaizungumzia kwenye telly
Ingawa haina maana yeyote {kama kuna kombe au kushuka daraja} ila inaelezea hali halisi iliyoko, katika hizo timu zilizotajwa hapo kwa mechi zilizocheza zenyewe kwa zenyewe table yake inakuwa hivyo.
Hizi international games zinaharibu sana mambo, weekend hii ilikuwa tumfanyie kitu mbaya sana Aston Villa ila poa ataingia kwenye 18 week ijayo
Huna haja ya kum tag Pazi .... huyu jamaa baada ya yule jogoo aneyeumwa mdondo kuliwa na manyoya yale pale bandani kwake Anfield, jamaa anapatikana insta tuu ana post/support Cricket siku hizi {Mata mbaya sana kamfanya kijana abadilishe fani}
Kufunga magoli katika timu ya Taifa huwa haielezei mengi juu ya mchezaji. Bendtner, Podolski, Forlan wana rekodi nzuri katika timu zao za taifa tatizo lao linakuja katika vilabu/ligi. Simaanishi kuwa Falcao hatoweza kurudi kama kabla ya kuumia. Tatizo lingine umri unamtupa mkono.....
Hata mie nimemsamehe maana nikisema yangu naweza kabisa nikanuniwa lol! ila sina huruma na mtu katika mechi zangu zilizobaki na timu sasa karibu yote wako safi ukiondoa wachache ambao labda hawatakuwa tayari kutia jezi labda mpaka wiki ya pili ya April. Ni kupiga watu magoli tu kuanzia wiki ijayo hadi mchezo wa mwisho.
Umeona eeh! mwache Malafyale ajipige kifua ila matokeo anayajua anajaribu kujipa moyo tu.
Kwendraaaaaaaaa!!!! Umefurahi kwasababu ametajwa Costa na Fabregas, huyu Kaka yangu Malafyale legend wake ni Mata tu, akimkumbuka jinsi alivyomtoa nishai hana hamu, lolz
LOL! Kuna yule msagasumu nambari one humu acha! Anaitwa Nzi anajua kuandika mambo ya kuudhi sana 🙂🙂
View attachment 238120
Falcao Score 2 and Assist the other... A great Striker will always be a great Striker.. Falcao Needs time in Manchester United
Daaaah
Yaani kafunga na akicheza na Bahrain unakuja kuleta tambo hapa?
Bahrain hamna soka
Ban yako imeisha lini?!! Siku ingine usiweke ahadi kama hizo hasa Red Devils wakiwa wahusika!!
Siwezi jipa ban sababu mlishinda mkitumia loopholes ya Majogoo kuwa pungufu
11 kwa 11 hunifungi Anfield
Kwani uliweka conditions kuwa mtu akipewa red card BAN inakuwa haitambuliki?!! Wewe ulisema hata tukipata draw unajipiga ban. BTW SG alistahili red card let's assume he did u a favor coz u can't survive a day without commenting on this thread,prove me wrong!
Hahaha mkuu ww ni mgumu kuamini ajabuSiwezi jipa ban sababu mlishinda mkitumia loopholes ya Majogoo kuwa pungufu
11 kwa 11 hunifungi Anfield
Anataka kuweka kitumbua mchangaaYaani huko kooote tulikuwa pamoja! Sasa umeamua kuharibu,patakuwa hapatoshi humu oohoo!