Hakuna shida mkuu....nimekuzoea ktk maneno yako.....
Lkn FA sheria zao zinawaruhusu kufatia matukio uwanjani na kutoa adhabu ata km mpira unapokua umeisha na refa alikua hajaona hilo tukio....kwanini huyo Cahill asiadhibiwe km alivoadhibiwa Skrtel na Costa?
Refa habanwi na sheria yyt ya kutotoa penalty wala kadi nyekundu sababu sio "Code of Conduct Violation"
Mbona haujamuweka "The Magician De Maria na namba yake 7 mgongoni?Unaogopa nn kumuweka hapo?
Ehehehehe £ Milion 60 zimeenda hivi hivi ehehehehe
Mbona haujamuweka "The Magician De Maria na namba yake 7 mgongoni?Unaogopa nn kumuweka hapo?
Ehehehehe £ Milion 60 zimeenda hivi hivi ehehehehe
Tumia basi akili zako hata kidogo chifu....Di Maria ndiyo kwanza hata msimu mmoja hajafikisha!
Halafu unataka awekwe kwenye lists ya legends?!?
Dah! Hata kama kuumia kutunguliwa na United ambayo ulijipa uhakika wa kuifunga, kumezidi.
Jikaze kianaume kama walivyofanya wenzako.
Kujitutumua sana humu, mwishowe utapasuka.
Ana mwaka tu hivo hajawa ''legend'' bado.......hata Owen, Valenciana wengine wengi wamejaribu wamevaa hiyo jezi ila hawakufikia level ya kuwa ''legend''. Ni mila ya Club mkuu
Anaye ujua akicheza mechi 10 tu kaharufu ka legend kanaanza kuwaingia wenye team
Suarez Barca harufu ya Legend ipo wazi kabisa
Sanchez wa Arsenal harufu ya Legend inanukia kabisa
Costa na Fabrigas wa Chelsea harufu inanukia
James Real Madrid and list goes on
Di Maria nae harufu ya kuwa legend inanukia ehehehehehe
What a waste!

Mkuu ilikua hatari hii....