Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu wote humu nawataarifu tu kwamba mwenzetu Nzi kapata mtoto humu anaitwa Mtoto wa nzi lol! Hizi ID za humu baadhi zinachekesha sana. Hongera Mkuu Nzi kwa kupata mtoto.

Mwanae Nzi atakuwa chelsea au man city, maana ndo kizazi kipya.
 
Last edited by a moderator:
We've beaten arsenal,liverpool,tottenham...drew against Chelsea!

Hahahaha I meant on the table. You had to make your own table, set your own rules and put yourself on top. Nobody(FA, EUFA, FIFA, TFF,CECAFA,NBA,TABA etc) recognizes this 5 teams league. Kulaleki mambo yanaonekana yanakuwa magumu hadi mmeamua kutengeneza ligi isiyotambulika. Hapa tu mko nyuma point 2 toka nafasi ya 2, mkiikosa UCL itakuwaje? Mmekuwa Ze Comedi.
 
Dawa yako iko jikoni....nitakukumbusha!
 
RRONDO msameheni tu kaka yangu maana huko aliko hali yake mbaya, hata mimi nimemuachia masavana, majacks d na vodka yampoze moyo wake, Malafyale kaka yangu uwe na amani bana ndo soka hilo ganga yajayo.......

Sitaweza kujipa ban sababu sijafungwa kisoka bali ni technical problem
Siwezi jiondoa kwa sababu za technical problem kama zile za SG

Dada everlenk karibu sana Ikwiriri nikujazie gari yako matiki maji urudi nayo mjini
 
Last edited by a moderator:
Dawa yako iko jikoni....nitakukumbusha!

View attachment 237833

Hahahahaha hii ligi itakuwa ni ya Chevloret Cup, lakini tofauti ni kuwa mnalicheza simultaneously na regular season. Afadhali Arsenal Emirates Cup inachezwa pre-season. Nyie kweli mmepinda, mnang'ang'aniza kubeba kombe hata liwe la kanyaboya.
Cc DonDonald, Nzi, Belo, Pazi, Malafyale,Wacha1,BAK, Mndengereko, Ntuzu, everlenk, Mfarisayo,Bulldog
 
Hutaki unaacha,mata the best midfielder so far.
 
Attachments

  • 1427347820866.jpg
    77.1 KB · Views: 96
Mndengereko nimeacha aisee kwasababu sitaki lol.

Kuwafunga Spurs na LFC tutasikia tambo mingi sn........lol.
 
Last edited by a moderator:
Sitaweza kujipa ban sababu sijafungwa kisoka bali ni technical problem
Siwezi jiondoa kwa sababu za technical problem kama zile za SG

Dada everlenk karibu sana Ikwiriri nikujazie gari yako matiki maji urudi nayo mjini

Hahahaha!! Kaka yangu bana! Hiyo hiyo technical problems ndo soka lenyewe, siku hiyo game haikuwa upande wenu tungeshinda tu hata kama mngekuwa 13.

Aiseee!! Hilo ni deal ati! ngoja nitafute gari nije, canter tan 3 itafaa kaka yangu?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!! Kaka yangu bana! Hiyo hiyo technical problems ndo soka lenyewe, siku hiyo game haikuwa upande wenu tungeshinda tu hata kama mngekuwa 13.

Aiseee!! Hilo ni deal ati! ngoja nitafute gari nije, canter tan 3 itafaa kaka yangu?

Njoo dada tujadili soka kidogo jioni urudi zako mjini nikufungie pia dagaa Kibua ukawafanye mchuzi

Najua BAK na Ntuzu kwa sasa hawataki kabisa kukumbana na Majogoo sababu wanajua wamejeruhiwa so hasira zetu tunazihamishia kwao
 
Last edited by a moderator:
Njoo dada tujadili soka kidogo jioni urudi zako mjini nikufungie pia dagaa Kibua ukawafanye mchuzi

Najua BAK na Ntuzu kwa sasa hawataki kabisa kukumbana na Majogoo sababu wanajua wamejeruhiwa so hasira zetu tunazihamishia kwao

Ulishindwa kufurukuta ndio kwako Mata akakupiga mbili peke yake ndio utaweza kufurukuta kwa BAK na kwangu?
 
Last edited by a moderator:
Ulishindwa kufurukuta ndio kwako Mata akakupiga mbili peke yake ndio utaweza kufurukuta kwa BAK na kwangu?

Ww uliokolewa na refa baada ya Cahil kuusukuma mpira kwa mkono uliokuwa unaelekea wavuni

Cahil alistahili kadi nyekundu na penalty!Usiwe mwepesi sana wa kusahau
BAK pale Anfield aliutafuta mpira kwa tochi
 
Last edited by a moderator:
Ww uliokolewa na refa baada ya Cahil kuusukuma mpira kwa mkono uliokuwa unaelekea wavuni
Cahil alistahili kadi nyekundu na penalty!Usiwe mwepesi sana wa kusahau
BAK pale Anfield aliutafuta mpira kwa tochi

Hakuna shida mkuu....nimekuzoea ktk maneno yako.....

Lkn FA sheria zao zinawaruhusu kufatilia matukio uwanjani na kutoa adhabu ata km mpira unapokua umeisha na refa alikua hajaona hilo tukio....kwanini huyo Cahill asiadhibiwe km alivoadhibiwa Skrtel na Costa?
 
Last edited by a moderator:
Njoo dada tujadili soka kidogo jioni urudi zako mjini nikufungie pia dagaa Kibua ukawafanye mchuzi

Najua BAK na Ntuzu kwa sasa hawataki kabisa kukumbana na Majogoo sababu wanajua wamejeruhiwa so hasira zetu tunazihamishia kwao

Sawa kaka naja.......

Kaka uwapige kabisa hao usiwahurumie hata kidogo..lol BAK na Ntuzu nisameheni bure jamani namfariji kaka yangu, lolz
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…