Hahahahaaaa wewe binadamu vituko weweeee.......
Darajani hautoki aiseee.....
Nimeaga kwetu lol.....limbwata darajani halifanyi kz lol......
Hahahahahaha lol! Ndo ushalishwa limbwata hivyo kazi kwako, subiri sasa uone habari yake. 🙂🙂
Hahahahahaha lol! Ndo ushalishwa limbwata hivyo kazi kwako, subiri sasa uone habari yake. 🙂🙂
Kwani hata wewe si nilishakupa limbata ila sasahivi Honey Faith kanizidi Kete....lols halafu ulete ng'ombe hizo kwa Ntuzu
Halafu msalimie sana Million Hairs mwambie namsalimu kwa busu takatifu........huyu alitoa laana kwa Barca
Big up Ntuzu, analysis ya wazi
Niliwaambia washabiki wa Pools nilioko nao karibu kuwa game ya Tottenham na ile ya Arsenal zinatosha kabisa kuonesha uwepo wa Carrick na Herrera katikati utawavuruga
Na Jana wameshindwa wa-handle Madogo na naona Gerrard nje aliingia na mission ya kusimamisha hasa hasa movement za Herrera...unfortunately it did cost him big deal.....
Martin Skrtel leo amekuwa charged na FA.Kifungo cha mechi 3 ni lazima kwa violent conduct.
Asante sn mkuu.....
Ata Martin Skrtel anapaswa kufungiwa kwa kumkanyaga Digea kwa Makusudi kosa amabalo ni sawa km alilofanya Costa dhidi ya Can......hapa FA wanapaswa kutenda haki.
Mkuu jamaa kashatiwa kitanzi....kuchomoka kwa violent conduct ni kwa ngamia kupenya tundu la sindano
How times changes....hizi games huwa nahofia Man ndo tunalambwa Red ila kimegeuka, jamaa mijazba na miguvu kibao
Aiseee!! Source please........
Hongereni sana
SG kawapeni points 3 muhimu sana jana!Hongereni sana
Naona kama kawaida yako umeikana ban uliyoomba mwenyewe
Malafyale bwana11 Liverpool 11 Man U ungelala easy tu
Hongereni sana
SG kawapeni points 3 muhimu sana jana!Hongereni sana
11 Liverpool 11 Man U ungelala easy tu