stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Leo raha Mnyama kanipigia mtu 3-0 na kule Ulaya najipigia 3 kwa LooserFool
Rooney ni mchezaji pekee anayeweza kufanya faulo mbaya na kutopewa RED. Anazidi kuthibitisha nilichosema juu ya SG awali.
Angetoa Rooney sio Herrera
Watafungwa la tatu hawa. Inaelekea nafasi ya pili, tatu zitaamuliwa April na May...