everlenk waonaje hii
1. DaveSave 2. Rafael 3. Rojo 4. Smelling 5. Jones 6. Carra 7. Devil Di Maria 8. Herrera 9. Roo 10. Mata 11. Young
(Fellaini Missing in Starting 11 lakini apatikane 2nd half - though LvG anavyomwamini sasa hivi nahisi Mata atawekwa nje)
Why Mata?
Napenda kuona link-up play ya hawa watu wanne Mata, Herrera, Carra na Di Maria. Nahisi hao watu wawili hapo Herrera na Mata kwa positional awareness yao na urahisi wao kujiposition wanaweza tengeneza link nzuri itakayosaidia ku-raise game ya Di Maria.....
Yeah up! Hizi defender sijui Sakho, Can, Sketel lazima ziombe Pora siku hiyo[emoji29]Kwa mtazamo wangu kikosi hiki kianze.
1. DD
2. Rafael
3. P. Jones
4. C. Smalling
5. Rojo
6. Carrick
7. Antonio Valencia
8. Matta
9. W. Rooney
10. Fellain
11. A. Young
Hawa watu wote ni wapiga kazi wazuri, Young na Valencia wanauwezo wa kurudi kukaba.
Wakati huohuo Carrick, Matta na Fellain wakipavuruga pale kati huku wakitengeneza mazingira mazuri kwa mzee wa KO kuzifumania nyavu atakavyo.
Huku Degea akiwa likizo kwani mipira itakayokuwa inafanikiwa kupenya hapo kati itawakuwa Smalling na Rojo wakiisubiri.
Teh teh teh teh loserfool walie tu.
Yeah up! Hizi defender sijui Sakho, Can, Sketel lazima ziombe Pora siku hiyo[emoji29]
Safu imetulia vyema lakini hapo namba 7 unaonaje awe Herrera ......Valencia aje kipindi cha pili? Ni mtazamo tu.....
Pale kati wakikaa Fellain na Carrick basi LFC lazima wapotee.
Labda Rafael ndo aanzie nje kwa sababu itakuwa ndo game yake ya kwanza hivyo anaweza asiwe kwenye form.
Aanze Valencia na Herrera huku Rafael akisubiri nje. Hapo itakuwa imekaa poa, kwa mtazamo wangu.
Labda Rafael ndo aanzie nje kwa sababu itakuwa ndo game yake ya kwanza hivyo anaweza asiwe kwenye form.
Aanze Valencia na Herrera huku Rafael akisubiri nje. Hapo itakuwa imekaa poa, kwa mtazamo wangu.
Mi sina hata cha kucomment maana naogopa kuwa disappointed. LVG hanaga simile
CL quarter final draw to be played on 5-6 April and 21-22 April
Paris Saint-
Germain vs Barcelona
Atlético Madrid vs Real Madrid
Porto vs Bayern Munich
Juventus vs Monaco
CL quarter final draw to be played on 5-6 April and 21-22 April
Paris Saint-
Germain vs Barcelona
Atlético Madrid vs Real Madrid
Porto vs Bayern Munich
Juventus vs Monaco
Duh!! Mbona Bayern Munich ana bahati hivyo, maskini we RM!! Barcelona my team utachomoka kweli kwa PSG?...... Yote juu ya yote mpira unadunda lolote laweza tokea.....