ingawa hutaki kuja kumwaga pongezi kule lakini mie nakuja huku huku kukuringishia dooli dolii,hujamuona Tevez na mashuti yake,dooli doli..we endelea na Carrick wako lakini..dooli doli,Morata dooli doli..robo fainali..dooli doli!haya endelea na EPL yako!
Vyovyote vile itakavyokuwa kinachotakiwa ni kuwa Mata na Di Maria lazima wacheze hiyo mechi, iwe kwa kuanzia mwanzo wa mechi au kuingia kipindi cha pili.
Bila kusahau {muhimu sana} Wayne apangwe kama Striker, kwa zile beki chovu za Liver Rooney lazima atupie kama kawaida yake
Kama ningekuwa napanga kikosi, basi ningependelea Di Maria aanze, kisha Mata aingie kipindi cha pili....
Kwanini? Kwa sababu Di Maria anakimbiza, beki ya Loserfools yafaa kukimbizwa dakika za mwanzo mwanzo tu...sasa akiwepo Di Maria na Young kwenye wings kutaifanya beki ya Loserfools kuwa busy muda wote....na endapo tutapata (ma)goli kipindi cha kwanza na tukawa wenye pole position, basi Mata ataingia ili kufanya timu imiliki mpira na to kill the game....
Kwangu mimi asiwepo hiyo first 11kikosi kile kinafaa ila kuna marekebisho kidogo ya kufanya ili tuwe wazur zaid ngoja nireview kisha nitarudi.
Mi nafikiri kuwachezesha wote wawili ni ngumu kwani kunahitajika balance, ila di maria anatakiwa aanze kwasababu hii game ni away tutakuwa tuna counter attack sana ambayo di maria anafaa sana.
Napendekeza kianze kikosi kilichomfunga Spurs, game ya kwanza tuliwafunga Loserfool Di Maria hakucheza Mata alianza akafunga na kutoa assist kwa RVP,vyovyote matokeo yatakavyokuwa first half Di Maria aingie sub kuanzia dakika ya 70
Nakusubiri!
Hats mimi ningependa di maria aanze ili tuwapige hawa jamaa counter attack za maana maanake najua lazima watatuvamia kichwakichwa!
Tatizo la Di Maria ni kwenye kukaba tu na ndiyo maana mi naona aanzie nje ili watu wa kazi wawavuruge kwanza then aingie kuwakimbiza kipindi cha pili.
Nimekuwa nikifuatilia pia aina ya magoli tunayofunga tangu msimu huu uanze, magoli mengi hayapatikani kwa cross isipokuwa tumekuwa tukipata magoli kwa kupitia katikati.
Hata spurs tumewapiga kwa kupitia katikati.
Nimetafakar sana bado naona Mata anafaa kuanza combination lake na Herrera lilipendeza sana ilikuwa ni amsha amsha, Rooney kama kawaida striker asipangwe kivingine nasali sana siku hiyo LVG asimpange namba nyingine, Smalling na Rojo walishahibiana vizuri. Siku hiyo cha kuzingatia mashambulizi zaidi na defence iwe imara tu. halafu Sterling na Sturrige wadhibitiwe ipasavyo kama Kane alivyominywa ni nani na nani watafaa kuwadhibiti ipasavyo hapo bado sijapata jibu sahihi nisaidieni.....
everlenk waonaje hiiKwangu mimi asiwepo hiyo first 11kikosi kile kinafaa ila kuna marekebisho kidogo ya kufanya ili tuwe wazur zaid ngoja nireview kisha nitarudi.
Kwa mtazamo wangu kikosi hiki kianze.
1. DD
2. Rafael
3. P. Jones
4. C. Smalling
5. Rojo
6. Carrick
7. Antonio Valencia
8. Matta
9. W. Rooney
10. Fellain
11. A. Young
Hawa watu wote ni wapiga kazi wazuri, Young na Valencia wanauwezo wa kurudi kukaba.
Wakati huohuo Carrick, Matta na Fellain wakipavuruga pale kati huku wakitengeneza mazingira mazuri kwa mzee wa KO kuzifumania nyavu atakavyo.
Huku Degea akiwa likizo kwani mipira itakayokuwa inafanikiwa kupenya hapo kati itawakuwa Smalling na Rojo wakiisubiri.
Teh teh teh teh loserfool walie tu.
Counter attack ndio tutakachofanya siku hio,na di maria ndio atafaa Sana kuwakimbizz hao Liverpool,usisahau assists za di maria Kama goli LA Rooney vs arsenal
Kwa mtazamo wangu kikosi hiki kianze.
1. DD
2. Rafael
3. P. Jones
4. C. Smalling
5. Rojo
6. Carrick
7. Antonio Valencia
8. Matta
9. W. Rooney
10. Fellain
11. A. Young
Hawa watu wote ni wapiga kazi wazuri, Young na Valencia wanauwezo wa kurudi kukaba.
Wakati huohuo Carrick, Matta na Fellain wakipavuruga pale kati huku wakitengeneza mazingira mazuri kwa mzee wa KO kuzifumania nyavu atakavyo.
Huku Degea akiwa likizo kwani mipira itakayokuwa inafanikiwa kupenya hapo kati itawakuwa Smalling na Rojo wakiisubiri.
Teh teh teh teh loserfool walie tu.