Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Thubutuuuuu kaka siku hiyo ni machozi,jasho na damu mpaka kieleweke, hadi naniliu tutaminyaaa hahaha!!!!

Isha nunua champagne kibao
Wanaopenda Heinekken sawa
Kama unapenda Budlight sawa
Wenye kupenda soda pia watakuwepo

Ni furaha sana kuua"mnyama" uani kwako
 
Isha nunua champagne kibao
Wanaopenda Heinekken sawa
Kama unapenda Budlight sawa
Wenye kupenda soda pia watakuwepo

Ni furaha sana kuua"mnyama" uani kwako

Kwa timu gani uliokua nayo na kocha gani ulienae mpk useme yote haya? Huyu BR kocha wa Academy?
 
Kwa timu gani uliokua nayo na kocha gani ulienae mpk useme yote haya? Huyu BR kocha wa Academy?

Yaa kocha wa academy aliyekushinds kwenye msimamo wa ligi May 2014

Kocha wako asiye wa academy mbona alishindwa na kocha wa academy?
 
Santeeee......

Huyu kaka yako anaongea sn km amekunywa ulanzi.....Siku hiyo Michael Carrick atawatibua vibaya sn pale kati kina Henderson, P Coutinho....chezea Carrick wewe....

Carrick ni kikongwe mno hana impact yyt kwa sasa ktk EPL

Miaka yake 33 amsumbue nani?
 
Yaa kocha wa academy aliyekushinds kwenye msimamo wa ligi May 2014

Kocha wako asiye wa academy mbona alishindwa na kocha wa academy?

Nani aliekupora ubingwa uliokua umejiandaa msimu uliopita iwapo km ungeufunga Chelsea? Kwi kwi kwi kwi kwi....chezea Mou wewe...sasa J2 anakuja babalao LvG alifanya kz na Mou na Mou akamfundisha BR.....sasa km BR anaweza kumfunga babu yake uatona J2 sasa.

Carrick ni kikongwe mno hana impact yyt kwa sasa ktk EPL

Miaka yake 33 amsumbue nani?

Umri sio shida wewe, kuru kwa Carrick kumeiimarisha ManU sn......alafu nimesikia na Van Magoli atakuwepoooo kwi kwi kwi Martin Sketi(sijui ndio hivi anaitwa sketi) atapata shida snaaaa kuna KO ingine toka kwa Rooney.....
 
Santeeee......

Huyu kaka yako anaongea sn km amekunywa ulanzi.....Siku hiyo Michael Carrick atawatibua vibaya sn pale kati kina Henderson, P Coutinho....chezea Carrick wewe....

ingawa hutaki kuja kumwaga pongezi kule lakini mie nakuja huku huku kukuringishia dooli dolii,hujamuona Tevez na mashuti yake,dooli doli..we endelea na Carrick wako lakini..dooli doli,Morata dooli doli..robo fainali..dooli doli!haya endelea na EPL yako!
 
Juve hapo ndipo mwisho wako na mido zako za maguvu bila akili

Hayupo Pirlo humfungi yyt aliyebaki
 
Juve hapo ndipo mwisho wako na mido zako za maguvu bila akili

Hayupo Pirlo humfungi yyt aliyebaki

nakubali mido zetu nyingi ni za aina hiyo,isipokuwa Pirlo na Pogba.Hata hivyo Allegri amekuwa mjanja kubuni mbinu zinazoficha hilo tatizo.tevez na morata wote wana uwezo wa kushuka hadi kati na kupanda,na wako creative.pembeni tuna watu wajanja kupanda na kushambulia kama lichsteiner,evra,caceres ambao wanatanua uwanja huku pale nyuma katikati akina Bonucci na Chiellini,Barzagli wana vision kubwa ya kuona movements za mashambulizi na kutengeneza pinpoint passes ambazo zimekuwa silaha kubwa ya mawinga na forward.Ndio maana tangu Allegri apewe timu,Juve inaweza kumpa mtu mmoja free role.Pogba,Pirlo,hucheza kama trequetista sometimes.Hapo ndipo ubora wa kocha unapokuja.To get the best out of limited options.Juve wana sifa ya kuwa wazito na pasi za taratibu,lakini angalia leo,waliisoma Dortmund na kuona inacheza mpira wa pasi nyingi na kufungua vyumba,na hivyo wachezaji wake muda mwingi wanakuwa karibu karibu wakijaa eneo lenye mchezo na kule wanakoenda.Walichokifanya Juve ni kuwaachia possesion jamaa,na kuwavuta wajazane nje ya third ya Juve huku wakishuka hadi katikati ya uwanja.Juve wao wakawa wanapiga counter kupitia pembeni na mipira mirefu ya mabeki wa kati ikiwa inavuka juu katikati walipojaa dortmund,huku akina tevez,morata,lichsteiner wakawa wanaikimbiza na kushambulia kabla dortmund hawajarudi wengi golini kwao.Sijui ni lini umewahi kuwaona Juve wakikimbia kwa kasi kubwa kama leo.Sio kawaida yao,ina maana waliisoma Dortmund,wakabuni mbinu,wakaifanyia zoezi,wakabadili mchezo.Hii ni technical versatility kubwa sana toka kwa kocha na timu yake.Nimewashangaa na kuwaheshimu!Usisahau waitaliano ni wakali wa soka ya mbinu.Sijui kama LVG angepata matokeo haya akiwa na kikosi hiki cha Juve.
 
Samahani wakuu kwa kuleta ujuve huku old trafford,ni sababu ya malafyale mchokozi sana.

Ukipangwa na yyt kati ya Bayern,Barca,Madrid,Atletico na PSG utaaga mashindsno kwa aibu!Pirlo na Marchisio ndiyo roho ya team yako na akikosekana mmoja wao hufanyi lolote

Utapita tu kama utapata bahati ya kuonana na wale Wareno au Monaco
 
mimi nadhani msumbufu kwangu hapo ni PSG tu,hao wengine hamna kitu!Bayern ya yule mzee niliiogopa,ila huyu mspanish Guardiola mrahisi,ukishika njia zake hana plan b uwanjani.Halafu huyo Marchisio wako unayembeba hatii mguu kwa Pogba,sema najua hutaki kumtaja dogo mna hasira nae sana.unazungukazunguka tuu huku roho inaumaa,we mtaje tu upunguze nyongo kifuani,ukisema "Pogba" utasikia nduuu,kitu kinaangukia tumboni,unaanza kupumua vizuri.na harudi ng'o.
 
Santeeee......

Huyu kaka yako anaongea sn km amekunywa ulanzi.....Siku hiyo Michael Carrick atawatibua vibaya sn pale kati kina Henderson, P Coutinho....chezea Carrick wewe....

Mkuu Ntuzu hawa jamaa kelele zinawasaidia kupunguza pressure walizonazo.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaahahaaa
Juve wametisha mbaya. Hongera yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…