Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahaha lol! anapenda sana kufagiliwa huyu πŸ™‚ mie wakifanya vizuri nawafagilia kila siku lakini kuna yule jamaa mmoja anaitwa Nzi ana usongo sana hata ukimfagilia bado tu anakuwa ana usongo lol!

Hahahaha!!! We hupendi kufagiliwa kwani, wewe mwenyewe unakuwaga mkali kweli ukiguswa, lol Nzi inabidi ajitutumue kuwapa madongo tu maana mmezidi kutusimanga sana lol, na nyie vipi Wacha 1 je? Kuna rubaman duh!! Ila watu kama hawa wacha wawepo ndo wananogesha jukwaa zaidi. Lol
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi kwi lol!!!! Hahahahahaha lol! ahsante sana Mkuu Ntuzu maana hata wakifungwa siku hizi huja hapa na kubaki kuwa msomaji tu sitii neno maana kuna watu wakiamua kununa utatamani ardhi ipasuke utadhani BAK ndiye aliyefunga goli/magoli khe khe kheeeeeeeeeeeee

Mwache huyo BAK hajui ,ila umefanya kosa kumwambia siri hii lol

Vita ni vita tu (in jaluo speech) mpaka dakika ya mwisho kitaeleweka,ila na wewe @ Ntuzu mjiangalie hapo mlipo msianguke tena......
 
Last edited by a moderator:
Mwache huyo BAK hajui ,ila umefanya kosa kumwambia siri hii lol

Vita ni vita tu (in jaluo speech) mpaka dakika ya mwisho kitaeleweka,ila na wewe Ntuzu mjiangalie hapo mlipo msianguke tena......

Hapo juu hatutoki kodo...tumeganda km ruba na tayari nimeshaanza kusheherekea ubingwa...lol.

Kulikoni unamtafuta dada ya Honey Faith kwa nguvu hivo....una ng'ombe 100 wewe.....lol.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha unaona eeh!!! Bila watu kama Nzi, Ntuzu, Wacha1, rubaman, Honey Faith, Belo, nifah na wengineo wengi jukwaa litapooza na kukosa utamu. Mie saa nyingi huwa nacheka sana pekee yangu jinsi watu wanavyocharurana saa nyingine kuna raha tu ya kusoma kimya kimya bila kutia neno. Hahahahaha lol! eti BAK anakuwaga mkali kweli akiguswa lol!!! nimecheka sana dah!

Last edited by a moderator:

Aisee siri imekua hadharani leo....lol.

Teh teh teh teh, ila Nzi aache usongo duh....ata umfagilie vipi haelewi....
 
Last edited by a moderator:
All the best mkuu, mi napenda tu kuona mnavokabana koo na huu utofauti wenu wa points mbili,moja na moja na moja....lol.

Asante aisee, alafu hapo red ndio pananogesha ligi, natamani na nyie uko juu ingekua the same ili ligi inoge sana
 
lol! Hapana Mkuu huyu mrembo kila akiahidi ushindi basi huwa hakosei kishasema mara 6 na mara zote hizo ilikuwa ni ushindi tu sasa leo akija hapa na baraka zake aseme si ushindi wa chini ya magoli 3-0 πŸ™‚πŸ™‚ ili tuanze kushereheka mapema.

Kulikoni unamtafuta dada ya Honey Faith kwa nguvu hivo....una ng'ombe 100 wewe.....lol.
 
Asante aisee, alafu hapo red ndio pananogesha ligi, natamani na nyie uko juu ingekua the same ili ligi inoge sana

Hahahaa mkuu sisi hapo juu tumepumzika kidogo...lkn chini yetu kidogo....lol. Ni vita vikubwa.
 
Kweli mkuu...ata mimi hua nacheka sn mambo ya humu...
 
Last edited by a moderator:
lol! Hapana Mkuu huyu mrembo kila akiahidi ushindi basi huwa hakosei kishasema mara 6 na mara zote hizo ilikuwa ni ushindi tu sasa leo akija hapa na baraka zake aseme si ushindi wa chini ya magoli 3-0 πŸ™‚πŸ™‚ ili tuanze kushereheka mapema.

Ngoja nikusaidie kumuita.. Honey Faith njoo huku BAK anakuita uje utie baraka zako.....
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana labda wako pamoja na utafiti πŸ™‚πŸ™‚ maana aliahidi kumpitia ili waende sehemu kuangalia huu mchapo bila vurumai zozote zile.

Nipelekee salam zangu kwa utafiti nimemuona mitaa flani anatembeza sumu juu ya MANU mwambie nimemuweka kiporo halafu akumbuke na ile thread aliyonianzishia nazidi kumuweka kiporo,lol
 
Last edited by a moderator:
Hmmmm! Kwani dua la utafiti linampata everlenk? Nauliza tu lol! Nawe siku hizi unakula viporo kama yule nanihii πŸ™‚πŸ™‚

Nipelekee salam zangu kwa utafiti nimemuona mitaa flani anatembeza sumu juu ya MANU mwambie nimemuweka kiporo halafu akumbuke na ile thread aliyonianzishia nazidi kumuweka kiporo,lol
 
Last edited by a moderator:
Niambie hapo badaye tunatokaje niandae leso ya kukufuta machozi au maua ya kukupongeza?

Hivi ni leo? Headings za magazeti hapo kesho.

Arsenal pulls off one of the greatest comebacks in Champions League history.

Ila mie macho yangu nimeyaelekeza pale anfield Jumapili mchana.
 
Hivi ni leo? Headings za magazeti hapo kesho.

Arsenal pulls off one of the greatest comebacks in Champions League history.

Ila mie macho yangu nimeyaelekeza pale anfield Jumapili mchana.

J2 EMT ni patashika nguo kuchanika...mtoto hatumwi dukani...nani ake juu ya mwenzake...lol.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…