Tots wehu hawa
Dada naona mgonjwa kanywa uji basi mategemeo kibao!Anfield nakuchapa kiurahisi sana
Kumbe nawe upogo huku?? Jamani msiwe mnakimbia kambi tuwe pamoja mumy.......
Hapana ila kuna mtu alisema hio ni baiskeli ya miti haina muamana.
nipogo sana tu mamy....yani jana heinken zilishuka vizuri sana.....walinipa raha sana MAN U....mana eeh tulikuwa atunywi maji kisa arsen8 walitufunga....
Kwa shingo upande sana everlenk hongera kama goli la rooney
Yaani jana ni raha sana acha tu;!!! Leo nimeingia ofisini mneeene nasumbaaje hapa nilipo!!!!! Basi kuanzia leo usitoroke tena kambi bana tuwe wengi huku......
Hahahahaha!!! Asante sana mtani, we nyosha tu hiyo shingo usiiweke pembeni usinipe tabu ya kukukanda hapo badaye,watu wa LFC mmeumia sana kuliko huyo Kane mwenyewe.........
BTW leo unachomoka???? Me sina hiyana nakutakia kila la heri.......
Hahaaaa
Kwa mbinu zozote zile ushindi ni muhimu ingawa Jonjo na Ki wanajaribu kunifanya nione game kuwa balance
Mwambie Nzi au Earthmover akusaidie lol.
Hongereni wakuu kwa ushindi mnono wa jana ..... ....... ..
Hahahaha!! Ngoja nitafute kamusi ya kisukuma nitakuja.....