Hapana mkuu
Ni game ya Anfield ambayo hata sare mkipata bado NITAJIPIMA mwenyewe kama ninapaswa kubaki hapa au la
...
....dadadek Chama limeshinda weita lete ndovu saba nikate kiu !!!
Mmala ahene?
Taaratibu unaanza kubadili kauli yako. Kule kwenu ulisema BAN ya mwaka kwa sare ama Kushinda kwa MAN U.. sasa ujipimie nini na umehaidi mwenyew.....baki na kauli yakoo hiyo kama kweli unajiamini hivyoHapana mkuu
Ni game ya Anfield ambayo hata sare mkipata bado NITAJIPIMA mwenyewe kama ninapaswa kubaki hapa au la
Huyo RvP aendelee kuumwa tu Rooney aendelee kukaa mbele pale
Tots wehu hawaMy kaka unasemaje? Loh!! Ulinitabiria mengi sana mechi hii...... Savanna zangu uziandae uongeze na JacksD moja hivi potelea mbali nitakupa hata wewe mwenyewe upoze machungu,lol
kweli kabisa, auzwe huyo dogo ili Rafael nae awe anacheza.
Leo nilipata amani sana kwa ile line up yaani Rooney mbele Mata na Herrera viungo na Young huku Carrick akitulize na kugawa mipira pale kati.
Tatizo mzeewetu hatabiriki next lineup mpya!
hahahahahaha lol! Kisa cha kununia? Ungejua unavyonipa raha nikikusoma hapa au kule kwa gunners wala usingetia shaka kwamba nimenuna. Picha ngoja nitafute nikizipata nitawawekea hapa. Hebu angalia tena vizuri mbona nimewafagilia kwa ushindi mnono au unataka tu nirudie?Kwa jinsi Spurs walivyocheza mechi za karibuni sikuyategemea matokeo kama haya ya kuwa chini 3-0 kipindi cha kwanza nilidhani itakuwa vuta nikivute kama mchezo wa Chelsea na So'ton.