Manchester United (Red Devils) | Special Thread

LVG hafiki April, game 3 za EPL zinamwondoa na Giggs ndiyo atatupeleka May. Ninamashaka sana na nafasi ya 4 very likely kumakiza 6 au 7 tena. Hii ni mbaya mno.

Kwa mambo haya Arsenal hatutaweza kumpita EPL, pia Souths, Spurs na Liver wanaweza kutuacha kwani timu zote zinacheza vizuri kukiko sisi.
 
Dah wewe kiboko lol

Una furaha sana leo ... ila si ulisema midweek games utakuwa hupatikani humu au ?

Leo ingekuwa weekend lazima ungeenda ku chill na Iverson mitaa ya kati

Hata ye leo nimeikosa nimerudi game limeshaisha. Furaha ya kukata "uteja" at least kwa game moja. Hata hivyo mwanzo wa ngoma ni lele muda si mrefu mtakuwa mkisikia tunacheza na nyie mnajua ni kupigwa goli kadhaa LOL
 
ni ukweli unaouma sana...tuko kipindi kigumu sana
 
Magarasa mengi tu yamewahi kutufunga,Wellbeck ni squad player still Giroud ambaye nyie mnamuona garasa ni mzuri kuliko Wellbeck

Wanaomuona Giroud garasa ni wale wanaofuatilia pundits wa ITV, TVT, DSTV sijui startv na kusoma DailMail, The Sun wanasemaje. Nimefurahi Welbeck kufunga goli japo sio mzuri kihivyo, ameweza kulipiza kwa kutoswa.
 
LVG ni bonge la kocha

Ila akiendelea na kiburi chake hiki...... mkataba wake wa Miaka 3 hautafika mwisho

Akibadili falsafa yake..... falsafa yake inaua vipaji vya vijana cheki sometime Di Maria anavyotia huruma anaonekana si lolote,Falcao,Mata wanaonekana kama wachovu tu.....
 
Hata ye leo nimeikosa nimerudi game limeshaisha. Furaha ya kukata "uteja" at least kwa game moja. Hata hivyo mwanzo wa ngoma ni lele muda si mrefu mtakuwa mkisikia tunacheza na nyie mnajua ni kupigwa goli kadhaa LOL

Hili tatizo litakwisha soon ... tutamleta "The Chosen One" Old Traford

Ila hata LVG akiendelea kuwepo sisi hatuwezi kuwa wateja wa kudumu wa Gunners
 
Akibadili falsafa yake..... falsafa yake inaua vipaji vya vijana cheki sometime Di Maria anavyotia huruma anaonekana si lolote,Falcao,Mata wanaonekana kama wachovu tu.....

Tatizo mbishi mno .... anataka kutufanya tuwe kama Arsenal vile wanavyofanyiwa na Wenger na falsafa yake ya kusadikika
 
kwa mara ya kwanza nimeanza kupata mashaka juu ya LVG na nafasi ya United ndani ya top 4

Hi ndiyo game zako zijazo hebu tafakari kama big 4 utakuwemo baada ha hizi game

Tottenham
Liverpool
Astonvill
Chelsea
Mancity
 
Tatizo mbishi mno .... anataka kutufanya tuwe kama Arsenal vile wanavyofanyiwa na Wenger na falsafa yake ya kusadikika

Yaani mtindo ule ule leo unacheka kesho unalia.....pepo la kujinyonga kama wao likae mbali na sisi kabisa lol
 
Unamwacha mata bench unamweka fellain 🔟 hata kama altaka ajaze wakabaji, unafanya sub unamwacha mata unamweka januzaj...... Unafanya sub unamtoa herrera unamwacha di blind unaweka carrick wakat carck angeingia angepga 6 herrera angebak 8 kama kawaida..... Lgv umechemka GGMU👏👏👏🙌🙌🙌 man u 🇩🇦🇮🇲🇦
 
Yaani mtindo ule ule leo unacheka kesho unalia.....pepo la kujinyonga kama wao likae mbali na sisi kabisa lol

Kuna msemo unasema hata mbuyu ulianza kama mchicha

Utani Utani tutakuwa kama "hizo timu zingine" ambazo zina miaka zaidi ya 10 hazijawahi kuwin EPL

Wacha nitoke online ninyooshe miguu

Siku Njema
 
Hili tatizo litakwisha soon ... tutamleta "The Chosen One" Old Traford

Ila hata LVG akiendelea kuwepo sisi hatuwezi kuwa wateja wa kudumu wa Gunners

"The Chosen One" hatarudi Old Trafford, anaenjoy life on the sun Real Sociedad. Akitoka kule atarudi Everton kuwarudisha Europa League ,Martinez amewafanya kuwa Wigan Athletic chapter 2. Mkikosa UCL mwakani mtatumia £250M kununua magarasa mengine hahahaha.
 
Kuna msemo unasema hata mbuyu ulianza kama mchicha

Utani Utani tutakuwa kama "hizo timu zingine" ambazo zina miaka zaidi ya 10 hazijawahi kuwin EPL

Wacha nitoke online ninyooshe miguu

Siku Njema

Nawe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…