Manchester United (Red Devils) | Special Thread

LVG ni bonge la kocha

Ila akiendelea na kiburi chake hiki...... mkataba wake wa Miaka 3 hautafika mwisho
 
Reactions: Nzi

Ni majanga ndugu yanguu....
 
Alichemsha subs...ila dah! Sasa itabidi tukomae angalau kucheza UCL next season...

Akishindwa kuipeleka timu UCL, basi itakuwa ni failure kwa LvG...

for sure without a doubt,atuachie usanii tunataka top four afe mchezaj afe trainer top four lazma kinyume chake timu imemshnda,atuachie siasa zake kwamba timu haijengwi kwa mwaka mmoja
 
Poleni Wakuu!!ndio soccer, Ila kwakweli Kutumia zaidi ya Pnd mil 220 alafu akikosa chochote hata top4, kweli LVG atastahili azabu. Kuna wachezaji sidhani kama Man U mliwahitaji waje aiseee.
 
Alichemsha subs...ila dah! Sasa itabidi tukomae angalau kucheza UCL next season...

Akishindwa kuipeleka timu UCL, basi itakuwa ni failure kwa LvG...
Nzi wewe huwa unamtetea LVG umeona mambo yake leo? mi kwakweli kwa leo ndo amenichosha kabisa yaani kanitibua nyongo haswaa
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
kwa mara ya kwanza nimeanza kupata mashaka juu ya LVG na nafasi ya United ndani ya top 4
 
Muda wa kukodisha "EDIKOPTA" na kupeperusha bango la LVG the Caveman OUT!!!!! Afu naona £59.7 M anazidi kudhihirisha kuwa ni bonge la flop kuliko Bebe
 
Hakika hili ni anguko la Man Utd, tunaenda msimu wa pili bila kombe lolote. Sitaki kuamini kama tunafata nyayo za Liverpool ya 1990.
 
Mnaiwaza sana top four ila niwape moyo mtafanikiwa ila sijui mnazionaje hizi mech zenu liverpool, spurs, man city, chelsea, arsenal n.k Danny Welbeck
 
LVG ni bonge la kocha

Ila akiendelea na kiburi chake hiki...... mkataba wake wa Miaka 3 hautafika mwisho
So far the best thing alichofanya ni kupunguza magarasa (Cleverley,Wellbeck,Anderson etc) but so far sijaona improvement yeyote kwenye timu
 
Wakaanga sumu leo mmepata cha kuongea naona mtakesha.

Leo ndo nimejua tuna maadui wengi sehemu kubwa ya Chelsea na Liver walikuwa washangilia Ars wamefurahi sana tulivyotoka,kumbe sisi ni tishio eeh?
 
Reactions: Nzi
Muda wa kukodisha "EDIKOPTA" na kupeperusha bango la LVG the Caveman OUT!!!!! Afu naona £59.7 M anazidi kudhihirisha kuwa ni bonge la flop kuliko Bebe

Dah wewe kiboko lol

Una furaha sana leo ... ila si ulisema midweek games utakuwa hupatikani humu au ?

Leo ingekuwa weekend lazima ungeenda ku chill na Iverson mitaa ya kati
 
So far the best thing alichofanya ni kupunguza magarasa (Cleverley,Wellbeck,Anderson etc) but so far sijaona improvement yeyote kwenye timu

Hahahaha Garasa limewaliza leo.
 
Leo ndo nimejua tuna maadui wengi sehemu kubwa ya Chelsea na Liver walikuwa washangilia Ars wamefurahi sana tulivyotoka,kumbe sisi ni tishio eeh?

Siku zote Utd ni jeshi la mtu mmoja

Gunners, Chelsea, You will never walk again, Man City wote wanakuwa wanaungana kuwa against Utd

Weka Kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…