Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Spuds kaa kawaida yao..wanabana halaf wanaachia..lol.

Nafasi ya nne ndo wanafulia hivo.
 
Refa siku zote mbn huwa anatubeba?...Lol!..sijui na ile handball ya Campbell unaizungumziaje?...Goooo United!
Congs kwa mashetani wenzangu.
 
Wakuu vipi huku leo mbona kimya................ngoma bado saana hii..........mpaka siku ya mwisho
 
Hakuna kukata tamaa, Wigan can do us a favour.

siipendi sana hiyo statement lakini ukweli ndio huo..............ManU kuitegemea Wigan.....interesting!! kwa kweli..............
 
Kwa kweli namkumbuka Babu SAF....alisema sana kuhusu ManU ku-loose gemu ambazo zilikuwa ni wazi inatakiwa kushinda...............na kwamba zitawaletea shida sana huku mbeleni..............na ni kweli tunayaona sasa............duuhh
 
Tutaikumbuka sana gemu tuliyofungwa na Burnley.
 
Naona Manure mmeamua kusaka ubingwa kwa kila njia!!!! Hahahahahaha!!!!:gossip:

Hiyo habari iko vice versa kama uliangalia game ya Chelsea na Liverpool mambo aliyoyafanya Gerrard na Mascherano utapata jibu
 
Hiyo habari iko vice versa kama uliangalia game ya Chelsea na Liverpool mambo aliyoyafanya Gerrard na Mascherano utapata jibu

Kwi kwi kwi, naona mnagonga hodi kwa jirani mnoko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…