Hongera sana na wewe ila hata nawe QPR amekusumbua kiasi fulani ila naona kipindi cha pili mkamuweka sawasawa........nilikuwa najisemea mimi leo Uso wangu ntauweka wapi mbele ya BAK kwikwikwikwi!!!!! Next Loh............!!!ni mimi au wewe?????
Jamani mlale unono na wale ambao kwao bado mchana muwe na siku njema ,leo kwa raha zangu...... uhispania raha Uingereza raha zaidi....
Nawe ulale unono Mkuu na ndoto njema za Ashley Young lol!!! Hahahahahaha
Hata goli la offside hamkufunga? Unachezaga Futebol de salao nini?
Hahahahaha!!!! Yaani leo kwa furaha niliyonayo naweza muota kweli halafu nikachezea kichapo maana nitakavyolitamka Aaasshhhleeeeyyy 😀😀😀 .......si unajua tena ndoto ni mawazo?
Ndiyo, ila hatutumii 'pitch' yenye mbao kama viwanja vya basketball. Tunatumia 'pitch' yenye material kama zile za kwenye running track za riadha...rami si rami! Sijui hata ni material gani..zinakuwaga na rangi kama ya udongo, kwenye tennis wanasema clay court, kitu kama hicho...
Ndiyo jambo la msingi...sipati picha jinsi wakaanga sumu wangevyojaa humu kama tungedroo...
tia maji tia maji watani mmeshinda jana tena kwa goli la zawadi
Goli la zawadi kwanini msipewe na ninyi mkawa nayo meeeengii!!! Haters bana!!! Show games tumewaachia ninyi kwasasa nothing more important than only 3 points tia maji tia maji ndo tunavuka hivyooo mtatukuta ng'ambo ya pili mtabaki mnashangaa wamevukaje hawa?
Tunasubiri hadi dakika ya 90 kwa Newcastle?
Week ijayo na Totenham then mtakuja.kwa Majogoo then mtacheza na Arsenal;Chelsea na Everton
Mechi hizi zilizofuatana hata kocha wenu LVG anajua hamtapata matokeo mazuri