Labda nikuulize mkuu, wewe ni mshabiki wa timu gani?Narudia tena kwa yeyote anaejua football analysing atakubaliana na mimi in football there is no short cut huwezi kujenga timu kwa msimu mmoja hata unune mastaa tupu tumeona hilo baada ya real madrid ya galacticos kufa imewachukua miaka mingi sana hadi kurudi on track na ela zao zote wakaleta kina beckam ila wakadunda na nyie muelewe tu short cut is always a wrong cut mark my words man utd haitakuwepo top four hamna uwezo wa kumpiga spurs ya sasa hivi,chelsea anawapiga,man city anawapiga,everton hakuachi, liverpool pale anfield navyoona liverpool ya sasa mtajuta, labda mtamuonea arsenal tu sasa out of 20 possible points lazima mdrop around 12 points mpira hauna short cut bwana jengeni timu kwa faida ya miaka mitatu nitano ijayo naruduia tena short cut is always a wrong cut jifunzeni kwa juventus walitulia wakajenga timu saivi skudeto wanajibebea tu
Hahaaaa mtani umeji-defend kwa hako kaubovu ngoja me niendelee kufanya maombi madogo madogo siunajua adui muombee njaa teeeehe teeeehe
Narudia tena kwa yeyote anaejua football analysing atakubaliana na mimi in football there is no short cut huwezi kujenga timu kwa msimu mmoja hata unune mastaa tupu tumeona hilo baada ya real madrid ya galacticos kufa imewachukua miaka mingi sana hadi kurudi on track na ela zao zote wakaleta kina beckam ila wakadunda na nyie muelewe tu short cut is always a wrong cut mark my words man utd haitakuwepo top four hamna uwezo wa kumpiga spurs ya sasa hivi,chelsea anawapiga,man city anawapiga,everton hakuachi, liverpool pale anfield navyoona liverpool ya sasa mtajuta, labda mtamuonea arsenal tu sasa out of 20 possible points lazima mdrop around 12 points mpira hauna short cut bwana jengeni timu kwa faida ya miaka mitatu nitano ijayo naruduia tena short cut is always a wrong cut jifunzeni kwa juventus walitulia wakajenga timu saivi skudeto wanajibebea tu

Duh!! mimi nakuombea heri ila nasikitika kwamba top 4 haufiki,lol
barcelona damu mimi
hahaha kumbe unataka club yangu ya epl YNWA
hilo daraja la kwanza unalijua wewe ngoja nikusaidie
Liverpool beat Manchester United and Arsenal to be named England's greatest football according to statistics - Mirror Online
kama unajua kusoma utaelewa
fredericko hatuzungumzii kuwa "named"......upewe nini sasa kama ushahidi huo hapo unabishana nao