Aiseee Falcao ataanza kuzomewa sasa, jamaa mpira haukai mguuni kwake!!
tim haikab uwez kuwachezesha falcao van p januzaj na di maria kwa wakat mmoja
Evans,smalling,falcao,januzaj wanaharibu timu
Hiyo yote ni kutaka RvP acheze!!
Afadhali hata Januzaj kidogo ana anafuu leo japo anapiga chenga ambazo hazina msaada kwa timu Evans ni tatizo kubwa, Falcao naye apumzishwe tu simlaumu sana mfumo nao ni tatizo hakuna watu wa kumtengenezea nafasi nzuri