Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chifu, bado hujanifundisha ile lugha yenye neno 'lecter' linalomaanisha Leicester..

Chifu ile lugha ni ngumu inahitaji mda kweli kujua si chini ya mwaka mmoja,ila ni lugha ya kirusi
 
Dirisha dogo limefunguliwa hvyo wenger kafanya yake
 

Attachments

  • 1420316177283.jpg
    14.8 KB · Views: 117
Chifu ile lugha ni ngumu inahitaji mda kweli kujua si chini ya mwaka mmoja,ila ni lugha ya kirusi

Kwa hiyo Leicester kwa Kirusi ni Lecter? Ndiyo lugha iliyozoeleka hiyo?

Dah! Hakika kuna watu ulimwenguni ni wabishi balaa...

Nimetumia google translate:

Лестер au Lester ndiyo kwa Kirusi!

Ila kwa ubishi nimekuaminia..
 

Nimeandika inavyoandikwa na kutamkwa,siwezi kubishana na ww tena kwenye hili
 
Nimeandika inavyoandikwa na kutamkwa,siwezi kubishana na ww tena kwenye hili

Huna lolote wewe...kwendreeee zako huko...kukiri kosa ni njia ya kujifunza..

Kirusi ndiyo lugha iliyozoeleka humu jukwaani?

Tondolobeto kabisa...
 
FA Cup
Yeovil Town v Manchester United: FA Cup – live!
LIVE Updated
Latest updates as Manchester United hope to avoid an upset at Yeovil
Email michael.butler@theguardian.com. Tweet: Michaelbutler18
Michael Butler
Sunday 4 January 2015 15.04 GMT

Fans hold up a scarf and a banner ahead of Yeovil’s FA Cup third round soccer match against Manchester United at Huish Park. Photograph: Dylan Martinez/Reuters
Key events
Live feed
Order by
3.04pm 15:04
BT Sport’s presenter for the day, Jake Humphrey, has already mentioned the words “magic” and “romance”. We are two minutes into the coverage here.

Share
2.59pm 14:59
Today’s teams. Seems like LVG is leaving nothing to chance then.

Yeovil: Steer, Nathan Smith, Nugent, Arthurworrey, Nana Ofori-Twumasi, Ralph, Edwards, Foley, Dawson, Gillett, Moore. Subs: Berrett, Hayter, Leitch-Smith, Krysiak, Inniss, Eaves, Alex Smith.


Man Utd: De Gea, Smalling, McNair, Blackett, Da Silva, Ander Herrera, Fletcher, Shaw, Rooney, Falcao, Wilson. Subs: Evans, Di Maria, Mata, Januzaj, Lindegaard, Anderson, Lingard.

Referee: Craig Pawson (South Yorkshire)
 
Last edited by a moderator:
Dakika 26 FA cup Manchester hwajafanya shumbulio lolote ktk goal la Yeovil
 
4.27pm 16:27
The game is crying out for Juan Mata. Would expect to see him on very soon, especially as Yeovil tire.

Share
8m ago11:20
Half-time: Yeovil 0-0 Manchester United

Can Yeovil keep it up?
 
Fletcher probes on the edge of the area, his pass is half-intercepted but the ball falls to Herrera, who swivels on the turn and hits an dipping volley first time into the top right hand corner of the net. Steer had no chance, and United’s travelling fans go absolutely nuts. Van Gaal puffs out his cheeks in relief on the United bench.

Share
4.54pm 16:54
GOAL! Yeovil 0-1 Manchester United (Herrera 64)

WHAT. A. GOAL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…