Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 997 Reaction score 34 Mar 30, 2010 #2,621 Abdulhalim said: Bayern kumbe wazuri bana..Man inaeza ikatolewa. Click to expand... Hasa kipindi cha pili wamecheza vizuri sana tena kwa kuonana kuliko hawa wenzetu hapa.Bado chance ni half half dk 90 zilizobaki ndo atakuwa muamuzi.
Abdulhalim said: Bayern kumbe wazuri bana..Man inaeza ikatolewa. Click to expand... Hasa kipindi cha pili wamecheza vizuri sana tena kwa kuonana kuliko hawa wenzetu hapa.Bado chance ni half half dk 90 zilizobaki ndo atakuwa muamuzi.
Peasant JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 3,949 Reaction score 699 Mar 30, 2010 #2,622 mmbebabox said: in reverse Click to expand... yeah!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Mar 30, 2010 #2,623 Mvina said: Hasa kipindi cha pili wamecheza vizuri sana tena kwa kuonana kuliko hawa wenzetu hapa.Bado chance ni half half dk 90 zilizobaki ndo atakuwa muamuzi. Click to expand... Man U kipindi cha pili imebanwa, yaani Bayern ilionekana kama inacheza na timu ya daraja la pili..lol
Mvina said: Hasa kipindi cha pili wamecheza vizuri sana tena kwa kuonana kuliko hawa wenzetu hapa.Bado chance ni half half dk 90 zilizobaki ndo atakuwa muamuzi. Click to expand... Man U kipindi cha pili imebanwa, yaani Bayern ilionekana kama inacheza na timu ya daraja la pili..lol
Peasant JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 3,949 Reaction score 699 Mar 30, 2010 #2,624 Mvina said: Rooney sijui atakuwa nje kwa mda gani lol hata kama ni wiki moja bado itasaidia ha ha! Click to expand... Hahahahaha! Nimekusoma mpwa!
Mvina said: Rooney sijui atakuwa nje kwa mda gani lol hata kama ni wiki moja bado itasaidia ha ha! Click to expand... Hahahahaha! Nimekusoma mpwa!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Mar 30, 2010 #2,625 Naona wapenzi wa Chelsea mnakenua injury ya Rooney..Weekend mapigo yenu ya moyo yatapungua kidogo..😀
Peasant JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 3,949 Reaction score 699 Mar 30, 2010 #2,626 Abdulhalim said: Naona wapenzi wa Chelsea mnakenua injury ya Rooney..Weekend mapigo yenu ya moyo yatapungua kidogo..😀 Click to expand... So long as Alex yuko fit hatuna shida na Rooney, atakabwa tu.
Abdulhalim said: Naona wapenzi wa Chelsea mnakenua injury ya Rooney..Weekend mapigo yenu ya moyo yatapungua kidogo..😀 Click to expand... So long as Alex yuko fit hatuna shida na Rooney, atakabwa tu.
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 651 Mar 30, 2010 #2,627 Ushabiki pembeni Bayern dominated and they deserved to win.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 30, 2010 #2,628 The sucker punch from Ivica Olic
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 30, 2010 #2,629 Rooney twisted his knee khe khe kheeeeeeee naona mafioso jino wazi. Fergi karidhika kwamba Manure walizidiwa kete leo .... ...
Rooney twisted his knee khe khe kheeeeeeee naona mafioso jino wazi. Fergi karidhika kwamba Manure walizidiwa kete leo .... ...
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,769 Reaction score 129,513 Mar 30, 2010 #2,630 Wacha1 said: Rooney twisted his knee khe khe kheeeeeeee naona mafioso jino wazi. Fergi karidhika kwamba Manure walizidiwa kete leo .... ... Click to expand... sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema
Wacha1 said: Rooney twisted his knee khe khe kheeeeeeee naona mafioso jino wazi. Fergi karidhika kwamba Manure walizidiwa kete leo .... ... Click to expand... sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema
Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 997 Reaction score 34 Mar 30, 2010 #2,631 Peasant said: Hahahahaha! Nimekusoma mpwa! Click to expand... Mpwa umeona kwa macho ya ndani cyo! Vinginevyo huwezi kuelewa huh.
Peasant said: Hahahahaha! Nimekusoma mpwa! Click to expand... Mpwa umeona kwa macho ya ndani cyo! Vinginevyo huwezi kuelewa huh.
Peasant JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 3,949 Reaction score 699 Mar 31, 2010 #2,632 mmbebabox said: sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema Click to expand... It's very unprofessional kushangilia injury ya mchezaji wa timu pinzani. Mbona sijaona mtu akifurahia Fabregas alipoumia?
mmbebabox said: sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema Click to expand... It's very unprofessional kushangilia injury ya mchezaji wa timu pinzani. Mbona sijaona mtu akifurahia Fabregas alipoumia?
Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 997 Reaction score 34 Mar 31, 2010 #2,633 Balantanda said: Kesho game itakuwa ngumu sana,namauachia Mungu...hahaaaaaaaaa....Tsubiri dakika 90 tu bana Click to expand... Nawatakia mema hapo kesho majirani.
Balantanda said: Kesho game itakuwa ngumu sana,namauachia Mungu...hahaaaaaaaaa....Tsubiri dakika 90 tu bana Click to expand... Nawatakia mema hapo kesho majirani.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 31, 2010 #2,634 Teh teh 'Man U hatushikiki' hamshikiki? Ribery ni kifaa nnoooo
Peasant JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 3,949 Reaction score 699 Mar 31, 2010 #2,635 Mvina said: Mpwa umeona kwa macho ya ndani cyo! Vinginevyo huwezi kuelewa huh. Click to expand... Nimeiona, nikaunganisha dots.
Mvina said: Mpwa umeona kwa macho ya ndani cyo! Vinginevyo huwezi kuelewa huh. Click to expand... Nimeiona, nikaunganisha dots.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 31, 2010 #2,636 Ukiangalia vizuri utagundua Rooney hayuko ok hata baada ya kufunga goli.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 31, 2010 #2,637 Peasant said: It's very unprofessional kushangilia injury ya mchezaji wa timu pinzani. Mbona sijaona mtu akifurahia Fabregas alipoumia? Click to expand... Unproffessional to whom? Khe khe ... ... Mbona wachezaji wetu wanavyovunjwa miguu mnashangilia kila siku? BTW huu mpambano wa timu kabambe nyie kaeni kimya tu muangalie timu yenu haipo tena kwenye haya mashindano ... ... ... Pamoja na umafia wenu.
Peasant said: It's very unprofessional kushangilia injury ya mchezaji wa timu pinzani. Mbona sijaona mtu akifurahia Fabregas alipoumia? Click to expand... Unproffessional to whom? Khe khe ... ... Mbona wachezaji wetu wanavyovunjwa miguu mnashangilia kila siku? BTW huu mpambano wa timu kabambe nyie kaeni kimya tu muangalie timu yenu haipo tena kwenye haya mashindano ... ... ... Pamoja na umafia wenu.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 31, 2010 #2,638 mmbebabox said: sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema Click to expand... Kesho mambo safi wala usiwe na matatizo njoo uangalie ngoma safi, hakuna mambo ya kukamiana.
mmbebabox said: sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema Click to expand... Kesho mambo safi wala usiwe na matatizo njoo uangalie ngoma safi, hakuna mambo ya kukamiana.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 31, 2010 #2,639 Wacha1 said: Kesho mambo safi wala usiwe na matatizo njoo uangalie ngoma safi, hakuna mambo ya kukamiana. Click to expand... Lakini mkuu hata huu mpira wa leo ulikuwa wa aina yake nao Man walidhani yatarudia ya Milan wazee wale jamaa leo walikuwa wananyang'anywa mipira ktk miguu yao lol
Wacha1 said: Kesho mambo safi wala usiwe na matatizo njoo uangalie ngoma safi, hakuna mambo ya kukamiana. Click to expand... Lakini mkuu hata huu mpira wa leo ulikuwa wa aina yake nao Man walidhani yatarudia ya Milan wazee wale jamaa leo walikuwa wananyang'anywa mipira ktk miguu yao lol
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,875 Mar 31, 2010 #2,640 yanga VS MANYEMA NEXTY NINI???