Van persie leo kaonesha uhai mpaka akapata na goal. Sera ya ushindani inalipa. Kwanza tumeona fellain akigangamala, kisha Ashley Young, na sasa van Persie
Sijaiona game, ila kwa highlights nilizoona, inaonekana timu imecheza vizuri...
Game ijayo Stoke City inabidi apigwe, ili twende St. Mary's tukiwa vizuri...