Manchester United (Red Devils) | Special Thread

man u 3 - 0 chelsea

naona wafu mnafarijiana , utafiti unaonyesha chelsea wakifungwa ndio wanakuwa wakali zaidi kama nyuki. mfano mechi ya evartone na swan sea. Ukitaka kumfunga chelsea mvizie dk za majeruhi ili ukimfunga na refa anapuliza kipyenga cha kumaliza mpira . Lakini ukimfunga mapema mnaweza kutafutana uwanjani na msionane kabisa.
 
mechi ya leo itakuwa na kadi nyingi sana kwa upande wa man. Namtabiria rafael, au rojo au smalling au blind mmoja wapo atapata red card . rafael ana posibility kubwa ya kupata red card lakini rafu atakayochezewa hazard inaweza kumweka nje miezi sita
 

time will tell/muda utasema
 
..........>>>> loading! :coffee:
All the best Nzi, Belo, etc...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…