Arafu sisi haijalishi tuna majeruh wala nini. Tukipungua, tukitimia moto ni uleule tu. Siunakumbuka msimu uliopita tuliakua spana mkononi lakini haukutufunga nyumbani kwetu, sembuse msimu huu, ninakila zana? We njoo ukijua unaenda kupana na mwanamme alie baleh sio kama wavulana ulio wafunga week iliopita.Mkuu Kitoabu ndani ya Nyumba....! Safi sn mkuu.
Dua zetu mpk sasa msiwe na majeruhi. Yani timu yenu iwe full ngwamba ndo tukutane pasiwe na sababu Za kulia lia.
Man u waliocheza na Leicester kipindi cha kwanza wanaongoza 2-1,wakarudi uwanjani wakapata ya 3,mara pwaaah 3-2,Mara pwaaah imesawazishwa ,Mara nyavu tena 4-3,Mara pwaaah lala 5-3 wakawa broken heart.
Nye wakumzua Costa au hazard?
Give me a break
Arafu sisi haijalishi tuna majeruh wala nini. Tukipungua, tukitimia moto ni uleule tu. Siunakumbuka msimu uliopita tuliakua spana mkononi lakini haukutufunga nyumbani kwetu, sembuse msimu huu, ninakila zana? We njoo ukijua unaenda kupana na mwanamme alie baleh sio kama wavulana ulio wafunga week iliopita.
Arafu sisi haijalishi tuna majeruh wala nini. Tukipungua, tukitimia moto ni uleule tu. Siunakumbuka msimu uliopita tuliakua spana mkononi lakini haukutufunga nyumbani kwetu, sembuse msimu huu, ninakila zana? We njoo ukijua unaenda kupana na mwanamme alie baleh sio kama wavulana ulio wafunga week iliopita.
Hapana mkuu..! Nawaombea kwa Roho safi kabisa msiwe na majeruhi Tuone mpira mzuri chini ya makocha bora kabisa..! Maana hiyo game ni km ukaribisho kwa Van Gaal ktk EPL. hivyo vitimu vidogo mlivyocheza navyo si sn vile...! Upo hapo mkuu wangu?
Teh teh teh wanamtegemea Rafael halafu mechi iliyopita si ana kadi nyekundu au?
Hizo timu ndogo hazitabiriki ingawa man u nayo ipo kwenye huo mkondo ingawa inajikakamua.
Kwa hiyo United ni timu ndogo siyo?!
Rafa hana kadi nyekundu, he is available and fit to play labda apate kadi match ijayo
Kubwa ila kwa misimu hii miwili haina tofauti sana
Nawachukia washabiki wanaojifanya kuzijua timu wasizozishabikia.
Nimekupata mkuu..!
Ila msituchoke mkuu...! Ndio tumeanza mdogo mdogo safari ya kuja OT tarehe 26.
Pamoja sn mkuu Nzi
Mnakaribishwa sana; mwaka hana pamoja na timu yetu mbovu Maureen alikuja kupaki basi.
Safari hii naamini hatapaki basi; itakuwa mperampera mwanzo mwisho. Itakuwa burudani na roho mkononi kwa timu zote mbili.