Kagoma Kuwika
Member
- Feb 6, 2009
- 82
- 0
point 3, goli 3.... ligi hii noma inaweza amuliwa kwa tofauti ya magoli!.... vijana wamecheza vizuri.Rooooooneeeeeeyyyyyy!....Hongereni Wakuu wote wa MANU kwa ushindi mnono na kijana anaendelea kufanya vitu vyake. MANU 3-0
point 3, goli 3.... ligi hii noma inaweza amuliwa kwa tofauti ya magoli!.... vijana wamecheza vizuri.
Acha kuongea pumba wewe, again we are back on topKhe khe kheeeeee tusubiri Ijumaa tuone zipi mbivu. Manure a one man team, imekuwa balaa sasa na huyu Rooney ambaye bado siku chache atakwenda kwenye meza ya madaktari na metatarsal yake kuwa hoi.
Tukiwafunga Chelsea tu tutatwaa ubingwa hata kama tukifungwa na Liverpool,Arsenal wataambulia nafasi ya 2 au ya 3
Naweza kutishika kidogo na mpira wa hizo timu mbili za Ufaransa, mpira wao umetulia sana. Wanaweza kutupa maumivu ya kichwa!
Mkuu hapa mi nawaza kisasi tu....perfect revenge!
Wafaransa kwa Man Utd naona kama Chatu na mbwa vile sijui wenzangu sitegemei usumbufu kwao..ila adv yetu kwa barca ni April 6, kwenye marudiano nao kwenye Theater of dreams..Tunarecord nzuri kiasi kwa sasa kwenye game za nyumbani
Kwi kwi kwi!
Msinikumbushe maumivu ya Barca mwezi Mei mwaka jana.
Naombea tusikutane nao mwaka huu.
Kwa mwaka huu wanaanza na watani wetu Arsenal, kwenye robo fainali, wanakumbushana fainali za mwaka 2006!