lol!!!! alishapewa yellow card ya kwanza akipewa nyingine itakuwa ya pili hivyo hafai kuonekana jukwaani, Bulldog ana yellow card moja nayo ya kutoa tusi zito jukwaani.
Jumapili hiyo tena muda wa Lunch daah..!! Ila zile ndoto za Moyes alizozitimiza msimu uliopita naimani zitarudi kuwa ndoto kama ilivyokuwa kabla yake..!!
Tuufute uteja na ninaimani tunaumaliza msimu juu yao na dua zangu ni waanze kuchezea wino mwekundu (bottom)