Mark Clattenburg: In his last 6 PL games refereeing Man Utd has sent off 3 Man Utd players and given 5 penalties against.
So disappointed with the perfomance of our defenders today!!!
Yaani nashndwa hata kumuelezea kanitia hasira sana,anakaba kama vile hana experience,from behind kategeshewa matokeo yake kaenda kutoa penalty
So disappointed with the perfomance of our defenders today!!!
Timu iliyopangwa haikuwa nzuri. Sampling na Bracket hawakupaswa kucheza. Shaw angelianza na JoJo angecheza katikati.
Timu inaimprove huko nyuma hata kufunga magoli ilikuwa ni shida now tatizo limebaki kwenye defence na mabeki Evans,Jones,Smalling wanaumia kila siku.Kabla ya hii game defence yetu ilikuwa imefungwa goli 3 tu.So far only Man City ndio defence yake imetulia Arsenal kafungwa goli 6,Chelsea 6,Everton 10,Liverpool 8 almost timu kubwa zote beki zao mbovu ile game yenu na Dortmund ilikuwa ya kufungwa goli 6DonDonald naona heshima inazidi kurudi hahahahaha.... Nzi, Belo,Bulldog,RRONDO last weekend niliwaambia mlipofuliwa na ushindi wa goli 4 dhidi ya timu mbovu QPR mkasahau jinsi gani beki yenu ilivyokuwa mbovu, leo mmethibitisha. Anyway, hampo tofauti sana na mid-table wengine kina QPR, Bunley, Southampton etc. Arsenal tulivyotoka na draw dhidi ya Leicester City mlitucheka saaaaaana. Loser!!!
Kwa nini mnapenda sana kudharau timu wakuu?
Hii ni Premiership ati ambapo timu ya mwisho inaweza kuifunga iliyo juu.
Acheni hizo bana. Mechi kama hizi ndo zinafanya Premiership kuwa exciting.
Refa angekuwa makini ile sio penalt.
Mpk leo sijui kwa nini van gaal hataki kufanya hcho,shaw yuko benchi bila ya sababu wakati ana uwezo wa kutusaidia sijui tulimnunulia nini? By the way rojo sio mzuri sana upande wa kushoto akipata winga anaesumbua its beta acheze cb kushoto amwachie shaw!
Sio kweli only defenders tu ndo wametuangushaThe whole team did not perform today as per expectations.
hata kama wachezaji wetu walishndwa kuhml presha ya mchezo baada ya leicester kufufuka,kitu ambacho ni makosa kwa timu kubwa kama man u,Refa angekuwa makini ile sio penalt.
experience is the best teacher,acha kuchonga sana!Na badoo, tulia Dawa iwaingie japo Chungu lakini inatibu so inabidi Mvumilie tu.
Sio kweli only defenders tu ndo wametuangusha
hata kama wachezaji wetu walishndwa kuhml presha ya mchezo baada ya leicester kufufuka,kitu ambacho ni makosa kwa timu kubwa kama man u,
experience is the best teacher,acha kuchonga sana!
Yaani nashndwa hata kumuelezea kanitia hasira sana,anakaba kama vile hana experience,from behind kategeshewa matokeo yake kaenda kutoa penalty
Tunafanya Mpango tukate Rufaa FA Ili hlo goli lifutwe Zibaki 4.
FA wasipofanya kitu kwa huyu refa itakuwa blunder kubwa sana. Marefa kama hawa si wakuwapa mechi zenye stree kubwa. Wakachezeshe league 2
Kabisa tena kama na record zenyewe zipo wazi hivi something should be done
Na wachezaji wameshaona hiyo weakness wanajiangusha tu.
Kweli..dogo atakuwa poa sana akiwa na CB mzoefu na world class kama Hummels.
Ila leo pamoja na udhaifu wa beki, refa kaua game..Rafael alifanyiwa foul kabla ya lijamaa kujiangusha na refa kutenga tuta..hata red card ya Blackett ilikuwa ya maajabu!!
Anyway, project bado inaendelea, LvG ataiweka timu sawa tu..
Hakuna jinsi tugange yajayo hili tumeharibu tuwasubiri West Ham Utd Jumamosi naimani hatutajisahau katika kudefend na asiwepo refa wa kutuharibia mchezo kama huyu wa leo...