Haki ya mama tukimpata mtu kama Hummels au CB dizaini yake...tutakuwa tupo kamili gado kuliko maelezo....
Kwa Blind tumepata mchezaji...jamaa ana akili ya mpira balaa...na ametulia hana paparq hata nukta...
Mechi Tottenham na WBA nayo speed yake si ya kawaida. Mashambulizi ya nguvu kila upande.