Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Di Maria bana kafanya kengine mpaka Falcao kasahau kuwa alikuwa anapasha
 
Reactions: Nzi
Madrid wangeongeza pesa aisee. Hii ya di maria ilikuwa ndogo sana. Hahahahahhahaha
 
Reactions: Nzi
Niliona walimqoute kocha wa QPR kuwa "anasikitishwa" kukutana na Man hii ya sasa....

Hiyo ilikuwa ni kabla ya hii mechi
 
Reactions: Nzi
hahahhaaaaaaaaa man uuuuu mata 4-0.........wapembe acheni na sisi leo tuckeke teh teh!!!
 
Shikamoo Malaika Angel Di Mariunited..

Wow! Falcao and Valencia in, what a message to #WakaangaSumu clubs..

We are 4-0...but still making such subs...
 
Daaah!!
RVP karibia aniprove wrong ila katengewa kitu hapa na Malaika....


Valencia na Falcao ndo wataongia sijui nani na nani watapumzika
 
Reactions: Nzi
Nimezipenda blocks za leo. Hapo kati marking ipo safi sana
 
Reactions: Nzi
Hayaaaaa

Falcao in Mata off.....

Valencia in Rafael Off...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…