Manchester United (Red Devils) | Special Thread

On a serious note, formation inaweza kuwa hizi, which means wale wapenzi wa Juan Mata watakuwa very disappointed.





cc Mourinho
 
Last edited by a moderator:
Sikutarajia hata siku moja kuwa Manchester United will one day becomes a "laughing stock".
 
Jinsi formation mpya ya Man itakavyokuwa.

Mabeki wa Premiership wajiandae kwa mashambulizi ya kufa mtu.



cc Nzi, Belo, Mbu, BAK, Mourinho, mfarisayo, Mentor agosti 8, Bulldog
kwa formation hii kwa kweli mabeki wa EPL wajiandae na kimbunga lakini na hiyo beki ya Man Utd itakua kichochoro sana, Januzaj ni wing back? halafu Falcao, RVP, Mata, Di Maria kuna yeyote kati yao anaoweza kusaidia kukaba pindi wakipoteza mpira? Hapo kwa Fletcher huoni Carrick angefaa zaidi?
 
Inaonekana LVG anataka kutengeneza timu upya kabisa so far Nani,Evra,Rio,Kagawa,Chicharito,Wellbeck,Cleverley,Giggs,Buttner wameshondolewa huu utakuwa msimu muhimu sana kwa Carick,Rafael,Fletcher,Smalling,Evans,Valencia,Young,RVP,Fellaini wasipofanya vizuri huenda na wao msimu ujao watauzwa.
 
View attachment 181999

wote upande wa kushoto itakuwaje?

kaka umesahau kuwa kigezo cha van gal kusajili ni uwezo wa mchezaji kucheza namba zaidi ya moja....huyo luke shaw atacheza kushoto kulia atakaa rafael kati kulia atakaa rojo na akisaidiwa na phil jones..delay blind atakuwa akishika shavu la mkabaji wa kushoto pia herera anaweza kazi hiyo...pia blind anaweza kuwa kitasa beki wa kati......tuko vizuri aisee
 
On a serious note, formation inaweza kuwa hizi, which means wale wapenzi wa Juan Mata watakuwa very disappointed.





cc Mourinho

Ukimaanisha LVG ataachana na mfumo wake pendwa wa 3-5-2?
 
Last edited by a moderator:
ukimaanisha lvg ataachana na mfumo wake pendwa wa 3-5-2?


ikumbukwe pia kocha huwa na mifumo zaidi ya mmoja..anaupenda huo 3-5-2 ila pia hutumia 4-3-1-2.....ambao hauna tofauti sana na 4-4-2.......ila pia ili kuwatumia wataalamu wake wote anaweza kuwapigia 4-3-3.....majembe yote mbele...namaanisha rooney, falcao na rvp....wakilishwa chakula na de-maria, matta na herrera...ahahahahahaha

man u weeee....mpaka rahaaaaaa.

Valencia, young na wengineo itabidi muwe munawaombea wenzenu waugue ndio mucheze...nafasi yenu siioni.
 

Unadhani kocha with a big ego and arrogant kama LVG atakubali kirahisi kubadili mfumo wake wa 3-5-2? Ili awape ushindi mapundits wa kiingereza ambao wanaukandia huo mfumo kila siku?
 
3-5-2 formation means 3 games 5 signings 2 points.

Kaka usajili wa Manchester United unakunyima raha, yahan uko desperate kabisa lolote linalokujia unaongea, lolote unalolikuta facebook unacopy na kupaste huku na hii ni saa moja jioni saa za Africa Mashariki ikifika saa tano usiku si utakua umeujaza ukurasa huu peke ako, nafikiri kauli yako ya kwamba Man u msimu huu haiwezi kupata world class players sasa ushaifuta eti eeh
 

Khe khe khe kheeeeeeeee.....

Nyie wapateni woooooote ila relegation inawahusu mwaka huu!!!
 
Hadi hapa nilishajifunza kitu
kinyume cha Arsene Wenge ni Van Gaal maana Wenger ni Bahihi ambaye hata kununua nyama kwake huwa ni nadra lakini Van Gaal kwake hata akieenda kuchukua salary yake bank huwa habakizi kitu.Hii imejizihilisha kwenye usajili pesa alotumia kwa wiki kadhaa imezidi pesa alotumia Wenger kwa miaka 5
 
Danny Welbeck hav medical...at Arsenal


source: skys sport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…