Will be a great signing, but Iam afraid he is not the guy you need. Nani atakuwa anam-supply na mipira. Mnahitaji kuziba nafasi za Vidic, Ferdinand na kati pale ndo shughuli ipo. Ni pabovu. Ila ataongeaza depth ya kikosi, na ushindani kwa RVP na Rooney!BREAKING: Manchester United agree loan deal for Falcao, subject to a medical.
©ESPN FC
Boot Room - Transfer Deadline Day - September 1 - ESPN FC
******
Radamel Falcao signs for MUFC on load for £12m
©DAILY MAIL
Radamel Falcao signs for Manchester United in £12m season-long loan | Mail Online
Will be a great signing, but Iam afraid he is not the guy you need. Nani atakuwa anam-supply na mipira. Mnahitaji kuziba nafasi za Vidic, Ferdinand na kati pale ndo shughuli ipo. Ni pabovu. Ila ataongeaza depth ya kikosi, na ushindani kwa RVP na Rooney!
DONE DEAL:
Manchester United imekamilisha usajili wa mshambuliaji Radamel Falcao toka As Monaco kwa ada ya euro 65mil kwa mkataba wa miaka minne.
#WakaangaSumu 'This gon hurt'
Will be a great signing, but Iam afraid he is not the guy you need. Nani atakuwa anam-supply na mipira. Mnahitaji kuziba nafasi za Vidic, Ferdinand na kati pale ndo shughuli ipo. Ni pabovu. Ila ataongeaza depth ya kikosi, na ushindani kwa RVP na Rooney!
He is the guy we need coz RVP akishafanyiwa upasuaji atakaa benchi mda mrefu sana na pia Hernandez ndo huyo Real na hatima ya tolu bado haijulikani..!!
*****
Naona Babu yenu nae kavurugwa anaenda kwa Papa
View attachment 181998
Sawa mkuu, ila pale kati ndo mnatakiwa mpate majembe ya uhakika, na beki yenu pia iko shaky. Nasi bado tunasua sua, tunahitaji dume pale kati na mnyama wa kucheka na nyavu.
Banters za humu kali zimewakimbiza kina Nzi na Belo ambao walikuwa number one Die hard fans. Muda si mrefu Bulldog na Privacy nao wataingia mitini.
Ugonjwa wa beki + mfumo tunaocheza sasa hivi unahitaji beki ya maana ila kuna vichwa viwili vinaweza ingia kabla ya usajili kufungwa ila lolote laweza tokea
It seems Javier Hernandezs switch from Manchester United toReal Madrid is close to being finalised, with reports in Spain saying that he has now passed his medical. A season-long loan deal is all set to go ahead, but the final details still need to be sorted as talks continue over what percentage of the Mexicans wages they will have to pay.
Mats Hummels angewafaa sana!
View attachment 182000
Sidhani kama dogo atakuwa na life poa ndani ya Madrid japo wengi wamepakimbia ili wasiharibike kutokana na ushindani wa namba ila nahisi tuliyemtoa na atakayerudia level zake ni Kagawa