Manchester United (Red Devils) | Special Thread


....Mwenyezi Mungu atawanusuru, 'Why Always them?"
😛op2:....kabumbu limetulia,.....Di Maria, Van Persie, Mata, Rooney...duhh!?
Majina makubwa makubwa!

Hakika ts a miracle na Mungu hana hiyana Kamnusuru Shetani pamoja na kwamba aliasi.
 
Hahahahaha lol!!!!! Haki miliki ya penalty kaondoka nayo SAF!!!! lol! nimecheka sana haahahaha. Mechi tatu wamekusanya 2 points wako jirani na mkiani!!! Dah!!!! Mdudu Nzi sijui kama atapita leo mtaa huu, na yule brother Belo mara tu ya mechi kwisha alionekana amelala huku akiwa amejifunika blanket nzito akidai anasikia baridi sana 🙂🙂

.....:shetani::shetani::shetani:...RED DEVILS, sasa hiyo ni gombania goli au?
mnataka penalty ya magumashi sasa, FERGIE pekee ndiye aliyekuwa na haki-miliki nazo.

 
Last edited by a moderator:

Hivi kwa mfano mechi ya majuzi kati ya Man City na Liver, mlishangilia kiasi hiki?

Au hizi furaha ni kwa Utd tuu?
 
Ndugu yangu Mndengereko alitabiri toka katikati ya wiki kuwa game itakuwa 50/50 na hakika yametimia kwamba Manure ya sasa hata wakutane na Ndanda Fc timu ya ndugu yangu Sizinga bado huwezi ukawapa manure 80% za ushindi maybe huko mbeleni.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hahahahaha sijaleta mtu humu, watu wanafurahia service za Voda. Afu huyu mkuu MO11 sijui ni chama gani sababu anapiga madongo kote kote.

MO11 means Mesut Ozil 11

ha ha ha ha ha ha ha ha ha


#COYG
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa ni mninga mngekuwa mnacheza double team kusherehekea UTD kutoka draw

Sisi hatusherekei mkuu but tunachokifanya ni comparison ya kile kinachotokea sasa na Zile salamu zilizokuwa zinatumwa kwa timu za Uingireza kupitia kuleee Marekani kwa LA Galaxy.
 
Hahahaha. Ulitaka kila mtu ashabikie Liva? Mwaka wa 23 hawajui kombe la ligi linafananaje! Unachekesha

Punguza munkari Mentor shabiki wa Chelsick ..... ...... ..... ... kwao Kibera asikusikie tu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…