.....:shetani::shetani::shetani:...RED DEVILS, sasa hiyo ni gombania goli au?
mnataka penalty ya magumashi sasa, FERGIE pekee ndiye aliyekuwa na haki-miliki nazo.
.....aiiii wewe! unaanza uchoyo wako huo ee? "Nipe,....nipe kidogo,!"
nakuombea basi japo mfunge kiduuchu "off-side!"
Si unaona hana wasiwasi.... ana tabasamu tuu... anajua kila kitu kinakwenda sawa
huyu Van Mateso hafukuziki?
af ujue wewe unatafuta ugomvi na watu enh
ila sijui kwann nyuma tumekuwa hivi na hapa hatuna ujanja hadi tusubiri dirisha dogo
hapo chacha..
Si unaona hana wasiwasi.... ana tabasamu tuu... anajua kila kitu kinakwenda sawa
karibu sana mkuu manchester..Kwa herin wakuu
af ujue wewe unatafuta ugomvi na watu enh
ila sijui kwann nyuma tumekuwa hivi na hapa hatuna ujanja hadi tusubiri dirisha dogo
chezea ukeputeni wewe..
Jamani namtafuta Juda Iskariot nachikia kajificha huku na Van Gaffe
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee