palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
man u wamepotea kabisa jamani nini tena.
Hii timu (MK Dons) haina tena filosofi yake ya enzi za kina Vinnie Jones!! Ilikuwa buti kwenda mbele!!
Wana filosofi ya kusukuma mlevi(Man Utd) siku hizi
Lvg kazi anayo!! Dk ya 35, bado 1-0 kwa MK Dons..