Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
hunishnd mimi ila kwa situation ilivyo ni ngumu tusubiri tu mpk dirisha dogoKila siku nasali aje vidal, nimemuona kule seria A, jamaa ni mzima
Kiwango chake kimegotea pale yule mkuu hawezi improve zaidi ya pale kamwe 'jitihada haizidi uwezo'Sahivi fellain hawezi kuondoka kwasababu ni majeruhi, smalling anaweza kuwa trained kuwa namba 5 nzuri kwasababu ana advantage ya urefu.
Personally, nampa msimu mmoja tu, kama hata-deliver basi auzwe
Mm ni mwanachama wa Man U kwa miaka 15 iliyopita na usafiri kwenda kuangalia live mechi kila mwaka , waweza kuangalia acc zangu 3 za fb nnazotumia kwa jina langu hilo, Sio rahisi kuhama club yenye mafanikio kuliko timu yyt Uingereza
Wewe ni muhaya?
Ili kujua timu fulani imeshuka sana na imeanza kuogopa nayo imeanza kutumia hela.
Mtatumia hela ila hamtashinda kwani wenye hela wazoefu kina Chelsea na Man City ndio wanaojua mcheza wa hela na wachezaji wa bei nyie mmeingilia fan isiyo yenu subirini kipigo kikubwa
Real Madrid winger Angel di Maria (back seat, behind driver) akiwasili carrington training complex
Haya wazoefu wa hela mlionunua kina Shevchenko,Torres na wengineo kibao,
mkuu ungejibu swali kidogo tu
sijaona swali lolote.....
Mdogomdogo