Man u wachezaji wenu wana majina mazuri kweli mpaka yanaleta sentensi yenye maana. Mhindi aliuliza- NANI KAGAWA ROJO? Mie nikamjibu Manchester united, hahahahahahahahaha!
Hahahahahaha! Haya bana na sie tunakusubiria gemu yako ijayo lazima uumie, umewaadhirisha vijana waliopanda daraja ligi kwako inaanza jmos tutakujazia mipicha kibao.