Mentor akiwafariji majirani.. ha ha haah wapi RRONDO, Belo, Mndengereko, kwani humu siyo kwao?
Aise mashabiki wa manu tunayo kaz kwel yan baada ya kichapo cha swansea nliishiwa pozi haswa baada ya majigambo mtaan sasa baada ya kupotea toka jmosi jana nkAkutana na jamaa wa arsenal yaan alinipa kicheko na salam ya kinafki hadi nkakosa pozi duuh majanga
Ninyi mnashiriki mashindano gani?..Hawawezi kujibu chochote sasa hivi wako uturuki wanatafuta nafasi ya kucheza uefa, hawajui kitakachowafika
Ninyi mnashiriki mashindano gani?..
Ninyi mnashiriki mashindano gani?..