Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dingi kaanza kibarua vibaya mwambieni ligi imeanza asidhani anacheza pre-season hapa.
 
Mkuu mi mwenyewe nimeshangaa mpaka nikawauliza kama wapo... hata nguli Nzi haonekani! Kulikoni?

Heko zako kwa kuwa True Die hard. Nadhani kuna mtu alipulizia dawa ya kufukuza Nzi humu ndani since last season.
Wapi Belo, Prondo, Mndengereko, DonDonald, Bulldog, chris Mushendwa na #TeamManchester United wengine? Huu ndo muda wa kuonyesha mapenzi ya dhati kwa timu yenu kama #TeamArsenal na #TeamLiverpool tunavyofanya.
 

Hapo mbona gemu hata haijaisha ni half time mmeshaongea hivyo
 
Game bado haijaisha wakuu,sema sio kesi mpira ukiisha mtanyamazishwa na matokeo
 
Game half time. Still swansea wanaongoza kwa goli 1. Dk 45 za mwanzo swansea wamecheza kwa displine ya kiwango cha juu. Sijaona mipango kwa united katika game hii. Van Gaal kazi anayo.
 
Duh wamepotea kurudi Humu inaonyesha atarudi Jesus mwanzo tehtehteh Manchester United wakishinda Leo ujue HT Luisa Van Girl atakuwa kawaambia jamani hii ni Pre Season Game wachezaji wakisikia neno Pre Season ndio watafunga wa UTD tehtehteh rudini jamani! Rubaman anawasaidia Kuwepo Humu Leo??.?.
 

Nipo jukwaani ,kipindi cha pili tunawachinja hawa
 

Mkuu rubaman mimi ni die-hard wa Anfield... hapa nilikuja kuwatembelea watani tu.

Nawashangaa sana wenyeji wa nyumba wamekimbia wote... tumebaki wageni tu.
 
Last edited by a moderator:
Van gal analeta formation za ndondo ktk ligi.. 3-5-2 yan wilfred bony akabwe na beki mmoja tena smaling
 

Nimecheka sana eti Luisa van Girl...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…