Mbona hamshangilii timu yenu, au staili ya post 7th place ni kuja kushangilia ushindi na kudai kuwa timu yenu imecheza vizuri? naona Rooney amekosa penati. Anyway, mna control game ila naona mara kadhaa Valencia wameweza kutoboa beki yenu.
Kiaina fulani unashabikia/unaipenda Man Utd
Sina la kufanya mida hii ndo maana nimeamua kuwaangalia mpoje. Mlikuwa mnajitapa mnacheza vizuri lakini sijaona huo mpira hadi sasa. Mimi Kuipenda Man Utd ni sawa na kupenda nyoka.Hakuna timu nayoichukia kama yenu.
Naona mmekuja baada ya kufunga goli. Kabla ya hapo mlikuwa mafichoni. Nyie mmekuwa wapenzi wa kuungaunga, haya Valencia wamesawazisha rudini mafichoni
Inabidi Mata ndio awe mpiga penati,Rooney hawezi hii kazi
Raha sana kuangalia Man Utd wakicheza
1
Siku hizi mkuu umeshachoshwa na Majanga United. huonekani hapa kwa sana.
Nyie wawili ni Glory hunters yaani mnataka mambo yawe mazuri kila siku.Mnasahau hakuna kilicho 100% kizuri bila kupitia ugumu au ubaya.
Kiaina fulani unashabikia/unaipenda Man Utd
Nilitaka kuona mnachezaje maana mlijisifia sana mlipobeba ICC, kwa kweli sijaona mpira wa kutisha katika mechi hii. Afu umesikia analysis ya Gary Neville na matarajio yake juu ya msimu unaokuja? Jamaa hawapi nafasi yoyote Man UTD. Gary Neville yupo very realistic kama Paul Merson.