Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mh! Hadi masawe Rafael naye hatakiwi??!! Hatareee....
 
rubaman come-on unajua kila big club EPL first priority yake ni kubeba vikombe save for Arsenal ambao naona kama walikua kama wanaridhika kuwepo first four tu, nimesema top four post kwasababu ni mapema mno kuongelea ubingwa kwa sasa unless naongea kishabiki otherwise hata wewe unaona timu yetu imebadirika sana compered tulivyokua last season...rubaman unajua timu sio wachezaji tu bali na mbinu za kocha zina matter sana...kwahiyo usishangae kuona tunasema timu imechange while wachezaji ni wale wale
 
Last edited by a moderator:

Ebana siku zimebaki chache. Ngoja tusiandikie mate wakati wino upo. Najua haya tunayoongea(toka pande zote) ni ya kishabiki zaidi ya realistic sababu wote hatujui kesho kitatokea nini. Nakubali kila timu huwa ina malengo kabla ya ligi kuanza, sisi ilikuwa ni kumaliza top 4 kwa miaka yote hiyo ya re-building naona zamu hii ni yenu.
 
Kama hizi habari zitakuwa zina ukweli basi hilo benchi lenu litakuwa limejaa makinda msimu ujao. Hata kama mtanunua wachezaji kumi itakuwa vigumu kushindania makombe yote matatu sababu kuna injuries, suspensions na lack of form ambavyo vina affect timu yoyote kila msimu.
 
Hizo story zinatoka kwa vyanzo vya habari vya "Shigongo" wa Ughaibuni
 
Uchambuzi wa vichochoroni, soka la sasa lzm utumie pesa ili upate matokeo ya haraka , anachofanya sasa hivi Van Gaal ni pamoja na kuchukua vikombe, Man U hawana sababu ya kutofanya hivyo na hawana mechi Nyingi Kama za uefa
 
Nimeshuhidia mechi 2 za preseason hapa marekani , timu itakayoondoka salama kwa Man U si chini ya 3-0
 
Last edited by a moderator:
Hizi habari za ujui wa Cuadrado na Vidal, tumezisikia hadi basi yani lakini hatuoni hatua yeyote! Pili ntaumia sana kuona ZAHA anaondoka, kwani hakupewa nafasi na Moyes msimu uliopita halafu bado ni kijana mdogo...avumiliwe japo msimu mmoja tu ili aweze kuonyesha uwezo wake aliotokanao C.P!
https://www.youtube.com/watch?v=SVhCtYFwdrU
 
Man Utd Vs Valencia saa 3:30 usiku..mechi ya kwanza ya LVG pale Theatre of Dreams
 
Man Utd Vs Valencia saa 3:30 usiku..mechi ya kwanza ya LVG pale Theatre of Dreams

Kwa majira ya hapa tanzania mechi hii itachezwa saa tatu na nusu usiku (21:30) wasije hisi ni saa tisa usiku
 
Sawa mkuu nadhani leo pia kuna mechi ya mabingwa wa ulaya na uefa ndogo itapigwa labda zitakuwa muda mmoja.

Kwa majira ya hapa tanzania mechi hii itachezwa saa tatu na nusu usiku (21:30) wasije hisi ni saa tisa usiku
 
Man Utd Vs Valencia saa 3:30 usiku..mechi ya kwanza ya LVG pale Theatre of Dreams

Tunangojea kuona maana mechi ya kwanza ya DM hapo Theatre of Dreamsalifungwa na Seville 3-1, je LVG atapata matokea gani?....fautilia mechi hii kwa kupitia tvs hizi ABUDHAB SPORT2 NILESAT 102 FTA, SHARJAH SPORT NILESAT 201 FTA, SS7 PAY TV
 
Konaball Kwenye Super Sport ni SS7 ndo wataionesha au ni mimi ndo sijaelewa??
 
Last edited by a moderator:
Mbona hamshangilii timu yenu, au staili ya post 7th place ni kuja kushangilia ushindi na kudai kuwa timu yenu imecheza vizuri? naona Rooney amekosa penati. Anyway, mna control game ila naona mara kadhaa Valencia wameweza kutoboa beki yenu.
 
Inabidi Mata ndio awe mpiga penati,Rooney hawezi hii kazi
 
GOAL!! Manchester United 1-0 Valencia (Fletcher)-United, attacking the Stretford End, win a corner, taken by Young. The ball flashes across goal and ricochets back to Fletcher on the 18-yard line and he clips his shot from right to left, spinning past Alves off Rodrigo's hee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…