Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,157
- 17,049
Jaman wakuu huyu vidal vp?
Vidal? nyie hamwezi kupata international player kwa sasa. Mtaishia kupora wachezaji wa timu zisizocheza uefa champions league. Kama mlivyofanya kwa #Luke Shaw,(soton) herera,(bilbao) na wengine. Vidal tayari anacheza club kubwa kuliko yenu. Vidal hawezi kuuzwa kwa sasa wakati pass master, maestro, kaka mkuu Andrea Pirlo umri ushamtupa. Poleni wazee wa mtaa wa 7!
Bilbao wamequalify champions league,msimu huu utakuwa mgumu sana baada ya Conte kuondoka.I think huu ndio ulikuwa wakati muafaka Juventus kumuuza Vidal kabla value yake haijashuka
hapana mkuu, kumuuza Arturo Vidal, ni sawa na kupunguza nguvu ya engine, juve nao kwa sasa wanahitaji kuwekeza ili kushindana na magiant wa ulaya, kina Bayern Munich, Barcelona, Madrid nk ambao wanaonekana kuliteka soka la ulaya kwa sasa. Angalia invest yao.... Juve watatoka jasho kwa miamba ya ulaya c kwa pale italia...
Hivi we Belo unafikiri van gaal anaenda kufanya nini na aina ya wachezaji kama Fellaini, Fletcher, carick na sampuli ya wachezaji kama hao? Sanasana anaenda kufanya kama maximo alivyokuwa na stars, kuongeza spirit tu kwa washabiki waishi kwa matumaini.
Nedved ameshasema hawana mpango kuwauza key players(Pogba,Vidal) but ikija offer kubwa watauzwa,sidhani kama misimu 2 itapita bila kuuzwa.Conte alishaweza kudominate kwenye serie A alikuwa anahitaji players wa kupambana kwenye Champions league wakashindwa kumletea players aliowataka akaamua kuondoka,kibaya zaidi timu kapewa Allegri
Kuhusu LVG,I think ndio anatufaa sana ana power like Mourinho sio mwoga kufanya changes like Moyes
Kumbuka tayari Giggs,Rio,Vidic,Evra,Buttner washaondolewa still panga linaendelea.

Naona Nani na Chicharito wanaweza kuondoka
Vidal? nyie hamwezi kupata international player kwa sasa. Mtaishia kupora wachezaji wa timu zisizocheza uefa champions league. Kama mlivyofanya kwa #Luke Shaw,(soton) herera,(bilbao) na wengine. Vidal tayari anacheza club kubwa kuliko yenu. Vidal hawezi kuuzwa kwa sasa wakati pass master, maestro, kaka mkuu Andrea Pirlo umri ushamtupa. Poleni wazee wa mtaa wa 7!
Dah hizi data zingine sijui mnazitoa wapi.
et vidal anacha tm kubwa hawez kutua mun u kwan wew ndo WAKALA WAKE
DonDonald unakataa kuwa timu yenu inalinganishwa na Leeds Utd? Utazowea tu. LVG atawasaidia kuingia Europa League
Msamehe hajui alisemalo
Ila mwisho wa siku atakuja kujua kati ya Utd na Juve ipi ni tiu kubwa.
sio man utd na juve...muulize man utd na timu YAKE ipi ni timu kubwa??!! usibishane na mtu ambae timu yake inakaa miaka 9 bila kikombe chochote anabaki kujisifu kushiriki....i mean KUSHIRIKI ECL kila mwaka
Nimeona kwenye Arsenal Thread umeanzisha kampeni ya Wenger Out baada ya NY Redbulls kuwatandika
Ohh kibaya zaidi ulikuwa uwanjani, una gundu?
Kuhusu Utd kuna kitu kimoja mnasahau There is only One UTD, si umesikia dozi zinazotolewa na Vijana wa LVG ndani kwa Obama
Ligi ianze mapema watu tuanze kuheshimiana mitaani.
Mkuu Arsenal walikuwa wanatembea uwanjani hakuweka upinzani
Red Bulls ndo walijifanya kweli waonekane katika TV dhidi ya mabingwa
Man utd wanacheza kwa ari vs timu za mchangani moja kuondoa aibu ya kuishia nafasi ya 7
pili wanataka kumfurahisha kocha mpya,ni yale ya kipya kinyemi
Utd kama hamtasajili zaidi ya hapa sidhani kama mtatisha nyau, msirogeke kwa matokeo ya pre-season. LVG kwa timu ya sasa sijui kama atawarudisha kugombania ubingwa labda msimu ujao huu
Tusubiri ligi ianze tuone mtakavyokuwa.
rubaman
Dah unaweza kuniambia kwanini mliingiza timu uwanjani kama madhumuni yalikuwa ni kwenda kutembea
Hivi TV gani zilikuwa zinaonyesha hiyo mechi mpaka Red Bulls watoe macho kiasi hicho?
Mkuu kama FC Roma ni timu ya mchangani Red Bulls iliyowafunga "mabingwa" itakuwa ni timu ya wapi?
Basi wanavyofanya ni vizuri maana hao wachezaji wameamua kumfurahisha kocha mpya msimu mzima
Mkuu sasa hapo tuu hatujamaliza kusajili watu wanakula saba, sasa wakina AV wakishatua Old Traford itakuwaje? LVG Ninajua unajua historia yake kwahiyo hatutakiwi kuwa na wasiwasi
Sio wewe tu ni Dunia nzima inataka kuona heshima inavyorudishwa EPL