Manchester United (Red Devils) | Special Thread


kama FUBU watatoa hela nzuri zaidi ya NIKE man utd ndio watawakimbia nike and not the other way round!!! vipi arsenal NIKE WAMEWAKIMBIENI???
 
Reactions: Nzi
Bahati mbaya bado sijamkubali De Gea kama kipa mzuri bado. Ana mapungufu mengi sana. Man U kama inataka ushindani wa kweli kwenye ligi, basi watafute na golikeeper.Tiba

Don't worry.......Valdez is on the way
 
Man United have confirmed new manager Louis van Gaal will join up with the squad for their pre-season tour next week.
 
Arsenal hawakukimbiwa Nike walishindwa dau na Puma.

na ndivyo ilivyo kwa man utd,nike wanaondoka baada ya kushindwa kukubaliana dau la mkataba mpya na man utd,tena wataondoka baada ya msimu unaoanza august mwaka huu kuisha.Na adidas ndio wanapewa nafasi kubwa zaidi kuwarith nike.
 

Chifu, naomba nikuulize maswali: ulikuwa unamfahamu LvG kabla ya kombe hili la dunia? Unayafahamu mafanikio yake kama kocha?
 
Chifu, naomba nikuulize maswali: ulikuwa unamfahamu LvG kabla ya kombe hili la dunia? Unayafahamu mafanikio yake kama kocha?

ki uhalisia kuna watu wengi walikuwa hawamjui van gaal kabla ya hili kombe.
 
Ngongo et al hebu nikumbusheni kiduchu mwaka huu mnacheza kwenye kombe gani? Au Van Gaffe ndio anaanza mbinu zake, isije ikawa Fungie ooo ooo ooo ps Van Gaffe anaanza kuzorota.
 
Kuna tetesi kwamba Di Maria yuko kwenye hati hati ya kujiunga na Man U. Hii deal ikipita Man U watakuwa wameokota bingo kwani jamaa ni mzuri kupita kiasi.

Tiba
 
Ni kweli mkuu nasikia ameamua kuwatolea nje lakini Real Madrid wanataka aje Man U badala ya kwenda PSG. Ngoja tusubiri tuone mwisho wake utakuwa vipi.

Tiba

Kuchezea Champions League muhimu for top players.

Halafu hivi ameacha ku-dive?

Maana alikuwa ananiboa sana na anguka anguka yake.
 
Kuchezea Champions League muhimu for top players.

Halafu hivi ameacha ku-dive?

Maana alikuwa ananiboa sana na anguka anguka yake.

Mwangalie kesho kwenye mechi ya fainali, nasikia atacheza kama bado ana dive au ameacha. Mimi sijui kama uwa ana dive au ni kweli uwa anaangushwa kwani kajamaa ni kabishi kakiamua kupasua defence kanaenda bila kujali makunyanzi. Nampenda kwa kuwa ni mtu asiyekata tamaa.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…