Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wilson the next Federico Macheda? Ebana zaidi ya England utasapoti timu gani katika Kombe la Dunia? DonDonald
Anzishieni Thread ya World Cup mida inakaribia.
 
Hahahahah 2 -0

Wilson Again
rubaman labda hatumuhitaji Cavani tena, Wilson yupo anatekeleza majukumu yake vizuri

18 years old anatafuta Hat Trick sasa

Watangazaji bana wameshaanza "Wilson for England Campaign"

Hahahaha waingereza bana si muda mrefu wataanza kumuita White Pele kama yule mwingine
 
rubaman arsenal akichukua fa cup na man city akiwa bingwa timu hadi ya saba inaenda europa lakini niko radhi tusiende europa kuliko nyinyi kushinda fa cup........
 
Last edited by a moderator:
Wilson the next Federico Macheda? Ebana zaidi ya England utasapoti timu gani katika Kombe la Dunia? DonDonald
Anzishieni Thread ya World Cup mida inakaribia.

Macheda day sijui bado yupo kwenye payroll ya Utd, jamaa nilihisi atakuwa ni bonge la striker{nikikumbuka lile goli alilowafunga Villa}

World Cup nina support England tuu lol
 
Dah hawa Hull mbona wanataka kuharibu siku

Na huyu Refa anatunyima penati tuu leo
 
18 - James Wilson is the fourth youngest player to score a Premier League goal for Manchester United (18y 5m 5d). Fledgling.
 
110 - Ryan Giggs has been used as a substitute 110 times in Premier League history
 
Hull City inabidi wachezaji wake wasiumie umie ovyo

Wana jukumu moja kubwa la kuweka heshima mjini Wembley

#TeamHullCity rubaman
 
Last edited by a moderator:
Macheda day sijui bado yupo kwenye payroll ya Utd, jamaa nilihisi atakuwa ni bonge la striker{nikikumbuka lile goli alilowafunga Villa}

World Cup nina support England tuu lol

Bado yupo katika payroll mkoponi Birmingham City. England kama kawaida yenu mtatolewa second round, Marekani hadi robo fainali mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…