Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It's always easy for World Class players to go to the World Class Club.
So, hata usibane pu**bu kuzuia, utaumia bure.

hahahahahah...

World class club, haiwez ikawa #7 kwenye league yake ya nyumbani!
 
World class players gani waje kwenye team ambayo imemalza nafas ya 7 na haipo UCL??

Au unafukiri kusajili world class players ni that easy???


Mkuu mpira pesa siku hizi

Drogba aliondoka Chelsea akaenda kucheza China, Etoo alitoka Inter akaenda timu hata ilikuwa haijulikani huko Russia Unamjua Radamel Falcao? 2013 alikwenda timu ambayo ilikuwa ina shiriki kombe gani?

"World Class Players" wanakuja Old Trafford msimu ujao
 

Drogba na Etoo, waliondoka hizo team zao za awali wakiwa na miaka mingapi???
 
Drogba na Etoo, waliondoka hizo team zao za awali wakiwa na miaka mingapi???

Mkaanga sumu umefika saa ngapi?

Falcao alivyoenda Monaco, alifuata UCL?

Aguero na Toure walivyoenda City, City ilikuwa UCL?

Cavani alivyoenda PSG na kutoka Napoli alifuata UCL ama pesa?

Utaumia roho bure mkaanga sumu...huwezi kuzuia mabadiliko United...

#MpiraPesa
 
Drogba na Etoo, waliondoka hizo team zao za awali wakiwa na miaka mingapi???

"Class of 92" inawanyima raha watu sasa lol

Kwahiyo sasa imekuwa ni suala la umri sio kuwa mchezaji anaweza kwenda kokote bila ya kujali CL

Kwani Torres alipokwenda liverpool alikuwa ni mzee? au liverpool walikuwa wanacheza Champions league, Suarez naye je?

Ninarudia tena Msimu ujao {Van Gaal} atafundisha "World Class Players" ambao watasajiliwa dirisha la usajili likifunguliwa
 
"The Glazers will fly in to Manchester to meet Ed Woodward on Friday for discussions with the executive vice-chairman about who is to replace David Moyes as United's manager.
Led by Joel Glazer, with whom Woodward talks on a daily basis, the owners want to ensure a clear strategy is established regarding how to pursue their prime target, thought to be Louis van Gaal."
 

muongezee na hii lucas moura alitakiwa na psg na man u akachagua psg na man ilikuwepo uefa sasa kule psg alifuata nni kama sio hela akumbeke alisajiliwa kwa dau la pound m 35
 

Nzi, huwezi kununua wachezaji kutoka Bayern, madrid, Barca, Dortmund, Atletco madrid, PSG, na club nyinginezo KUBWA,

wewe hangaika na akina Lallana, Luke shaw na wachezaj wengne wa Benifica, porto, Bilbao, Lyon, Schalke O4, na nyingnezo za kiwango cha kati..

wachezaj kutoka team kubwa nilizozitaja hapo juu, utakaowapata ni wale ambao hawana number za kudum kwenye vikosi vyao..kina shaquir, Pastore, Tello, Coentrao, na wengineo which are not WORLD CLASS PLAYERS..labda umnunue Calvalho yule uje kumfanya awe World class player!!!

Afu mtu kama yaya toure, aliondoka Barca kwasababu ya ugumu wa Number, Na aina ya wachezaji kama David silva kuwapata Teams kama za valencia ni ngum sana sahv!!!

Na japokuwa Manure utd ni tajiri, lakini huna uwezo wa kulipa wachezaj zaid ya sita mshahara wa zaidi ya 200k, hapo tusidanganyane..hiyo siyo policy yeny hata kidogo!!!

Na pia Manure haiwez kutoa €50 kwa mchezaji kama Cavani..hilo na wewe unalijua!!!
 
muongezee na hii lucas moura alitakiwa na psg na man u akachagua psg na man ilikuwepo uefa sasa kule psg alifuata nni kama sio hela akumbeke alisajiliwa kwa dau la pound m 35

Fergie aligoma kumeet the price tag, ndo maana dogo akaenda PSG..

Hujui hilo??
 

Suarez na Torres wakat wanakuja liverpool, hawakuwa consdered kama World class players..zile zilikuwa ni "major signings"

Ozil kwenda Arsenal, Huyo alikuwa ni established world class player kutoka Madrid kwenda Arsenal!!!
 
hahahahahah...

World class club, haiwez ikawa #7 kwenye league yake ya nyumbani!

Ngoja nikupe facts wewe mkaanga sumu:

United is still the biggest and richest club in UK.

United is one of the three richest sports franchise in the world.

United has a world-record kit sponsorship deal with Nike, over 600 million quids for 10 years. Getting over 60 million quids a year.

United has a 53 million quid per year shirt sponsorship deal with Chevrolet. Again the deal is world-record breaking.

Say that again...
 

Utaskia meeeeengi saaaaaaana safari hii!!!!!!
 

Hizo facts ulizonipa, zinaifanya Manure ionekane ni team KUBWA, lakini siyo BORA..
 

Sawa MosDef Glazer!

Ukaanga sumu mbaya sana.

Mwanzoni unasema United haiwezi kupata world class players kwa sababu haipo kwenye UCL.

Sasa imekuwa United haiwezi nunua wachezaji toka timu kubwa. Kwani United ni timu ndogo? Ebo!!

Mata alikuwa benchi Chel$ki$, sasa yeye siyo world class player? Torres anakula benchi, naye ni mchezaji mdogo?

Gotze anasugua benchi Bayern, naye ni mchezaji mdogo?

Ukishaingiza unazi na ukaanga sumu huwezi kuwa na mjadala huru?

Sasa kama Toure aliondoka Barca kwa ugumu wa namba, kwanini United ishindwe kumpata Kroos kwa sababu kama hiyo hiyo ya Toure? Ama Cavani kwa sababu inakaribiana? Kwani Cavani hafurahi kupangwa pembeni ili ampishe Ibra kati!

Unaongelea 50€ mbona hiyo hata mimi naweza kumnunua mchezaji?!?

Sababu za United kushindwa kupata world class players bado ni dhaifu na za kinazi!

Una jingine?!?
 
Hizo facts ulizonipa, zinaifanya Manure ionekane ni team KUBWA, lakini siyo BORA..

Ubora unatengenezwa na timu kubwa tu. Timu yenye uwezo wa kununua wachezaji wa viwango vya juu. Timu yenye training facilities za hali ya juu. Timu ambayo ina fan base kubwa, kutokana na wadhamini kuitangaza kila kona ya dunia.

Sijui kama unayafahamu hayo?

Kwa mpira wa sasa ukubwa wa timu ndiyo wenye kujenga ubora wa timu.

Husitarajie timu kama Everton ikaweza kushindana UCL katika ubora wa hali ya juu. Inaweza fluke games 2, 3, lakini ikafikia ukingoni mwa uwezo wake.
 

Kroos ana tatizo gani la number pale Bayern sahiv???

Afu nadhan Kipind kile wakat Edwoord amebak Germany kwa ajili ya ishu ya Kroos, Dogo akasema anataka UCL football, kitu ambacho wewe huwez kumuoffer!!!

Gotze is not a World class player!

Cavani, Manure huwez kutoa €50 kupata sign ya yule jamaa, na hata kama akitaka kuondoka PSG, destnation yake haiwez ikawa Manure..na kwa mujibu wa hizo hizo rumours za vyombo vya habari vya UK, ambavyo vinakuumiza kichwa kuhusu tetesi za kocha mpya wa Manure, Ni kwamba Mrusi wa chelshit anamtaka Cavani..

target yako wewe sahiv ni kina Lallana, shaw, calvalho na wengneo..huwez kuchukua mchezaja yyte ambaye ana namba ya uhakika kwenye team hizo BORA nilizokutajia hapo..

Song ana matatzo ya number, Barca unaweza ukamchukua, but he is not A WORLD CLASS PLAYER!
 

kwa sasa Dortmund na ATM ni BORA zaid ya Manure kwenye mpira wa ULAYA..

Lakina hizo facts ulizozitaja hapo juu hizi team mbili, zitaingia kwenye facts. chache sana!
 

Nzi, kwa msimu huu kubali tu kuwa, Manure utd inabakia kuwa ni team KUBWA, lakini isiyo na UBORA wowote kwenye perfomance ya uwanjani..
 

Hadi sasa arifu huna facts za kuonyesha kwanini United haiwezi kusaini world class players!!! Hizo ulizoandika hapo juu ni porojo tu! Mtu huwezi kuishi kwa mazoea; eti United haiwezi kutoa 50 million € kwa ajili ya Cavani!! Ndiyo maana nikahisi labda na wewe ni Glazer family member. Maana unajua mambo ya ndani sana. Wewe ndiyo wale waliokuwa wakisema Moyes hawezi fukuzwa kwani siyo utamaduni wa United. Hawa wanamfahamu SAF tu, aliyekaa miaka 27. Hivyo lazima washangae United kufukuza kocha.

Lakini pia hauijui United wewe. United ina tamaduni ya kuwa na record transfer fees katika British footie. Kuanzia kwa Dennis Law hadi kwa Bryan Robson, kisha Veron hadi kwa Rio. United imekuwa ikivunja rekodi. Sasa leo mtu anasema eti United haiwezi kulipa €50 million!!! My goodness me, ukaanga sumu mbaya.

Nikirudi kwenye suala la Kroos. Dogo anaona yupo undervalued Bayern. Anaperform vizuri anapocheza, analipwa kiduchu. Unafurahisha unavyopondo tetesi za magazetini, huku mwenyewe ukitumia tetesi za magazetini kusema Kroos alisema anataka UCL footie!!

Kwahiyo kama mrusi akimtaka, ndiyo ina maana hawezi kuchukuliwa na United? RvP anatakiwa na pesa ya mafuta, pesa ya gesi ndiyo itaweza kushindana na jina la #ManUnited

Una jingine?

Lete sababu zenye facts na siyo porojo arife..
 
kwa sasa Dortmund na ATM ni BORA zaid ya Manure kwenye mpira wa ULAYA..

Lakina hizo facts ulizozitaja hapo juu hizi team mbili, zitaingia kwenye facts. chache sana!

Hilo halina ubishi. Kutokuwa na msimu mzuri mwaka huu, siyo sababu ya kuanza kulinganisha United na hivyo vitimu visivyo na consistency. Vitatamba mwaka huu, mwakani vinapigania kushuka daraja.

Historia ya United tu, inatosha kumleta mchezaji mahiri OT. Aisee historia ya klabu ina thamani sana. Ndiyo maana kuna msema form is temporary, but class is permanent.

Kinachotokea United msimu huu ni suala la kuwa na form mbaya. Ila class ya United bado ipo pale pale. Hiyo ndiyo inaibeba Loserfools msimu huu; kwani nayo ina class permanence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…