Hivi nyie kweli ni crazy doggs...mnajishaulisha mapema hivyo na kuanza matusi, mnasahau kwamba wiki 2 zilizopita MOYES keshawahi kuwapatia matokeo kama hayo 4-0 dhidi ya Newcastle??
Hembu acheni matusi...MOYES mpeni credits zake manake amefanikisha kwa kiasi kikubwa...Bwa bwabawa bwaaaa!!

Dakika ya 80 sasa. Vijana wa giggs wana kiu sana..naona kama enzi za saf zimerudi...
Mkuu punguza wasiwasi..... Tatizo sio kipindi cha Moyes tuliwahi kufunga goli 4.... tunachokiangalia hapa {ndio maana EPL Inatetemeka leo} ni namna tunavyo shinda.
Si unaona vijana wanavyosukuma mtanange leo?
Mkuu heshima yake tulishampa mbona...
Eti moyes kwa miezi tisa aliyokaa united amebeba makombe mengi zaidi ya wenger aliyekaa miaka tisa arsenal.
Sasa Giggs apewe mkataba wa miaka 6 kama ule wa Moyes.
Mngekuwa wafuatiliaji wazuri mngelitambua hili...kwamba DAUD game yake ya kwanza EPL tarehe 17/8/2013 dhidi ya Swansea City aliwatungua goli 4-1, mkampongeza sana...!! Hatujasahau. Naona same way kwa Interim Coach, atamfuata MUSA historia haidanganyi ndio maana nasema YOU HAVE a long way to climb. Nzi
Hivi nyie kweli ni crazy doggs...mnajishaulisha mapema hivyo na kuanza matusi, mnasahau kwamba wiki 2 zilizopita MOYES keshawahi kuwapatia matokeo kama hayo 4-0 dhidi ya Newcastle??
Hembu acheni matusi...MOYES mpeni credits zake manake amefanikisha kwa kiasi kikubwa...Bwa bwabawa bwaaaa!!
Mkuu heshima yake tulishampa mbona...
Eti moyes kwa miezi tisa aliyokaa united amebeba makombe mengi zaidi ya wenger aliyekaa miaka tisa arsenal.
Umechokoza Nyuki!