Hivi nyie kweli ni crazy doggs...mnajishaulisha mapema hivyo na kuanza matusi, mnasahau kwamba wiki 2 zilizopita MOYES keshawahi kuwapatia matokeo kama hayo 4-0 dhidi ya Newcastle??
Hembu acheni matusi...MOYES mpeni credits zake manake amefanikisha kwa kiasi kikubwa...Bwa bwabawa bwaaaa!!