Mkuu wameshasema heshima itarudi Old Trafford, walikuwa wanamaanisha heshima ya kupewa penalties kwa kudive au wakitereza . Ferguson atakuwa ameshawakonyeza ma officials
Man utd fans hatuna jazba ila sema Arsenal/liverpool/Chelsea/Man City fans wameingiwa na wasiwasi na kuchukizwa mno na kitendo cha Glazer kufukuza Moyes
Ila inajulikana ni kwanin mmeingiwa na wasiwasi huo.... sio unaona dhahama inayowapata Norwich sasa