Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,821
- 23,614
Sijui ya 19hii team inashika nafasi ya ngapi? mana deile wanapigwa mity hawa wapigwa mity united
Sijui ya 19hii team inashika nafasi ya ngapi? mana deile wanapigwa mity hawa wapigwa mity united
Yaani...Hu huuu huuuu
Si haba draw
Hongereni japo kwa point mojaNgoja ituue...
Ila wait last wiso, inaeza isha 4-4 hii
Thanks.Hongereni japo kwa point moja
😫😫😫
Wamechomoa, Kwa Hali hii Kila mechi ni kushika gololi, Ain't joke timu imeoza.Mnapigwa miti tu huko 😃😃😃
Wachezaji expensive ila sioni wanachochezaDalot, Maguire,Yoro, goalkeeper, Ustadh Mbeumo Hawa hawastahili kuanza mechi
Tubadili tu sera za kukaa na hawa wachezaji unasajiliwa msimu wako wa kwanza hujadeliver unatimuliwa tuWachezaji expensive ila sioni wanachocheza