Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizi aibu ndogo ndogo inabidi tuziepuke, haiwezekani Leo tupigwe tuende International break tukiwa wa pili kutoka mwisho, Yaani tuwe wabeba mizigo ya wote...Hawa Jamaa wakifungwa Leo itakuwa hawapo serious na maisha kabisa...
Mnapigwa miti tu huko 😃😃😃
 
Scars muda huu
19510.jpg
 
Niendelee tu na series yangu

 
Walifanya comeback na Roma wakasema wameanza ligi, lets wait labda na leo watafanya comeback kama jumatano.
 
Hatimaye Cunha kafosi mpaka tumepata chakula cha Messi




Mtambo ushawaka jiandaeni kwa kambaki

 
Back
Top Bottom